Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

where is kenya in a current CAF ranking?....nimetumia binocular kuitafuta bado sijaweza kuiona.
View attachment 1048158
Ligi kuu ya Tz ndiyo the best in E.A, wamebisha sana kwa sababu ya kikombe cha sportpesa! Hiyo ni kama ranks ya best leagues kutokana na michuano ya CAF. Hapo bado tutaendelea tu kuzikusanya points mwakani pia. Huwezi kuwa na ligi yenye timu tatu kubwa halafu ukawa na ligi dhaifu. Kombe la CECAFA Azam amekaa nalo mpaka linaota kutu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3]wao wanabaki na upuuzi wa sport pesa ambao sisi huwa tunaudharau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By Zitto Kabwe

IMG_8735.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mimi ni mfuatiliaji na mtazamaji mkubwa sana wa documentary za wanyama.

mpaka sasa nimeshatazama documentary nyingi sana za wanyama.

leo kupitia national geographic chaneli (nat geowild) nimetazama documentary moja babkubwa sana inayoitwa the lion kingdom. documentary hii imerekodiwa tanzania ndani ya ruaha national park.

ifahamike tu kwamba ktk africa, tz ndio nchi yenye indadi kubwa ya simba kwa sasa.

katika end credit ya hii documentary, wahusika wameishukuru TANAPA kwa ushirikiano.

kwa wakenya, tanapa stands for Tanzania National Parks Authority.
IMG_20190318_150748.jpeg
IMG_20190318_150734.jpeg
IMG_20190318_150739.jpeg
 
Nation Geo Wild huwa wanawapa saana Tanzania na Botswana promo hasa kila j3
mimi ni mfuatiliaji na mtazamaji mkubwa sana wa documentary za wanyama.

mpaka sasa nimeshatazama documentary nyingi sana za wanyama.

leo kupitia national geographic chaneli (nat geowild) nimetazama documentary moja babkubwa sana inayoitwa the lion kingdom. documentary hii imerekodiwa tanzania ndani ya ruaha national park.

ifahamike tu kwamba ktk africa, tz ndio nchi yenye indadi kubwa ya simba kwa sasa.

katika end credit ya hii documentary, wahusika wameishukuru TANAPA kwa ushirikiano.

kwa wakenya, tanapa stands for Tanzania National Parks Authority. View attachment 1048468View attachment 1048469View attachment 1048471

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Back
Top Bottom