Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

By Zitto Kabwe

View attachment 1048233

Sent from my iPhone using JamiiForums
By myself [emoji2]
FB_IMG_1552713491042.jpeg
 
kituo kinachofata ni turkana county na baringo county.

hatuwezi kukubari jirani zetu wanakufa kwa njaa ilhali sisi tuna chakula cha kutosha.

wakenya mjiandae kupewa msaada wa chakula toka tanzania.
View attachment 1049053
Tuache unafiki binadamu kufa kwa njaa wakati wengine wachezea chakula sio jambo dogo, ushauri kwa wakenya acheni kubisha katika hili elezeni tu hali halisi tuweze wasaidieni, semeni msaidiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kituo kinachofata ni turkana county na baringo county.

hatuwezi kukubari jirani zetu wanakufa kwa njaa ilhali sisi tuna chakula cha kutosha.

wakenya mjiandae kupewa msaada wa chakula toka tanzania.
View attachment 1049053
Kwa jinsi Kenya ilivyo kwa sasa, Unaweza kuwapa halafu kisifikie waathirika wa njaa! Baadae ukakikuta shelves za Nakumatt!
 
Back
Top Bottom