Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3CD7A39A-D5AD-4807-8E42-834D45D8AE9F.jpeg
 
Iron sheet houses in MLDC slums makuru kayaba😆😆😆😆👇👇👇👇

 
Soon tunaanza kusogea Jozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Walitufanyia sabotage tuu ili kuondoa kila jema alilolifanya Mwalimu ili legacy yake ipotee lakini kama yeye Mwalimu alivyosema, "great ideas never die so easily but they keep on nagging" sasa zile ideas zake bado zinaishi hata kama yeye alishatembea mbele za haki.
 
Simba Taifa kubwa, Mnyama, wachawi wote wafe.

Furaha ya leo inanikumbusha wakati wakina Hassan Haffif, kocha mchezaji wa Simba alipofunga bao la tatu katika mechi ya fainali za klub bigwa Afrika mashariki na kati dhidi ya Sports Villa ya Uganda, Majid Musisis (Ugandan best player ever) hakuamini.

Kipindi hicho Simba ikishinda washangiliaji walikuwa wanasema CCM! CCM! Watangazaji wakubwa wa mpira RTD wakiwa ni Charles Hillary na Ahmed Jongo.Wahenga wenzagu mpo?

Simba Oyee...

Samahani kama kuna watu nimewakwaza, nimeshindwa kujizuia.
 
Back
Top Bottom