Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesahau SGR mkuu
 
Hivi pale Kinondoni vijana wanajenga nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi naliona hilo, Maana ni Gateway ya watalii wengi so wakipaweka vizuri inaweza ongea hamasa ya watalii kuongezeka.
ni kweli maana hutokea mara kwa mara...hivyo tazara inabidi wajiboreshe sasa ile station waiweke kisasa kwa kurekebisha maeneo tofauti tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna mtu anataka kuprove jinsi gani dar ilivyo safi acheki hii video mwanzo mwisho

Hii video japo kuwa ni ya kumpeleka mtangazaji kwenye nyumba yake ya milele, ila imeonesha baadhi ya uzuri wa Dar es salaam. Barabara ni ndefu na ni safi kinoma. Je, Wana nairobi wanaweza kutupatia video ndefu hivyo kwa barabara moja ikiwa safi hivyo!?
 
Nairobi hakuna barabara safi na zinazovutia kama hizi za Dar kwa urefu huo, tena hii video pamoja na urefu wake lakini imeonesha tu tone la uzuri wa barabara za Dar, ile campaign ya Makonda ya kupanda miti imezaa matunda sana, baada ya miaka mitatu hiyo miti itakua mikubwa zaidi itakua kama ile ya Kigali.
 
hawana Zaidi ya vile vishort road vyenye km kadhaa vya 6lane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…