Shirika la kwenu alafu bado linakutesa 😀😀😀Hehehe..... ushasema bomu la wanjala. Kwaiyo kama alisema wamenunua lazima a prove hakuna short cut hapa Hehehe... Unakumbuka niliyokubana povu zikakutoka ukakesha siku tatu ukitafuta link? Nae mbane hivyo hivyo. Yani usimlegezee hata kidogo, saivi najua unaexperience kutokana na nilivyokukazia! Akileta mambo ya faculty mara business mara aviation kumbe ka google, unampa live.
Anyway naamini saivi huhitaji maelekezo jichukulie kama mfano. Twende kazi!
Utatoka sana povu mwaka huu 2017!!Shirika la kwenu alafu bado linakutesa 😀😀😀
Nilitegemea utakuja kutetea Shirika lenu kuniletea mambo niliomuagiza mwenzako kumbe wewe ndio kilaza bora ya yule aliekimbia 🙂🙂🙂🙂
Alafu sasa hvi unajifanya kubadilisha topics kwasababu uliona pale pagumu maana hili swali ukilijibu ndio umejijibu na swali lako 😛😛😛😛
Pumzika kaka usiwaze sana siulizi tena swali🙂🙂
Usijifnye kubadilisha mada narudia kusema swali langu liko palepale na hakuna yoyote mpaka sasa hvi kajibu au atajibu hahahha mlizoea ku google ili mpone mgoogle na hilo basi😀😀😀😀😀Unafumbia macho?! He he he.... nilishakuambia hata uifanye wimbo na uitolee CD, fact will remain kuwa fact. And you can't do anything about it hata ufumbe macho... ukifumbua unakutana nalo tena he hehe...
ebu fumba tena!
Haya, fumbua.......
Hehehe..... ushasema bomu la wanjala. Kwaiyo kama alisema wamenunua lazima a prove hakuna short cut hapa Hehehe... Unakumbuka niliyokubana povu zikakutoka ukakesha siku tatu ukitafuta link? Nae mbane hivyo hivyo. Yani usimlegezee hata kidogo, saivi najua unaexperience kutokana na nilivyokukazia! Akileta mambo ya faculty mara business mara aviation kumbe ka google, unampa live.
Anyway naamini saivi huhitaji maelekezo jichukulie kama mfano. Twende kazi!
Ichoboy anakutesa hvo hahhahahahhaha swali lenyewe dogo sana nilitegemea utalijibu wewe uliokumbatia bomu kumbe kilaza wa mwisho...na niliwah kusema toka mwanzo mwaka huu mbaya sana...mutadanganya nini sifa zikwapi tena😀😀😀😀😀😀😀😀😀Utatoka sana povu mwaka huu 2017!!
Alfu kumbe povu linatoka hata ukifumba macho!! Noma sana!!!
Haya, Fumbua...........
Hehehe..... ushasema bomu la wanjala. Kwaiyo kama alisema wamenunua lazima a prove hakuna short cut hapa Hehehe... Unakumbuka niliyokubana povu zikakutoka ukakesha siku tatu ukitafuta link? Nae mbane hivyo hivyo. Yani usimlegezee hata kidogo, saivi najua unaexperience kutokana na nilivyokukazia! Akileta mambo ya faculty mara business mara aviation kumbe ka google, unampa live.
Anyway naamini saivi huhitaji maelekezo jichukulie kama mfano. Twende kazi!
Kama ulivyo Google chuo?!!!!!!! Hahahahahahahahaha we hatari!!! Umesomea faculty of aviation kule Moscow ndani ya dakika mbili usha graduate! Hahahahaha!Usijifnye kubadilisha mada narudia kusema swali langu liko palepale na hakuna yoyote mpaka sasa hvi kajibu au atajibu hahahha mlizoea ku google ili mpone mgoogle na hilo basi😀😀😀😀😀
Nilishasema ujanja ukizidi unakua mjinga🙄🙄
Kwakifupi pumzika huna hata moja utanieleza kwasababu hakuna hata moja uliojibu 🙂🙂
Nasema jibu swali alafu uone swali lako utakavolijibu mwenyewe kupitia jibu lakoKama ulivyo Google chuo?!!!!!!! Hahahahahahahahaha we hatari!!! Umesomea faculty of aviation kule Moscow ndani ya dakika mbili usha graduate! Hahahahaha!
Upo vizuri sana jamaa yang! Duh!
OK. tuyaache hayo kuhusu..... swali lako elekeza kwa muhusika na ninaamini utajibiwa tu. Mbona wewe ulinijibu?! Ndo maana nakuambia jichukulie kama mfano!
Na nilifurahi sana ulivoliingia swali la wanjala maana nilijua lazima atokee kilaza mmoja alivae na nilikua naimani CHOLO mzii ndio atakua wakwanza kulivaa kumbe sie kilaza wa kwanza umekua wewe😀😀😀😀😀Kama ulivyo Google chuo?!!!!!!! Hahahahahahahahaha we hatari!!! Umesomea faculty of aviation kule Moscow ndani ya dakika mbili usha graduate! Hahahahaha!
Upo vizuri sana jamaa yang! Duh!
OK. tuyaache hayo kuhusu..... swali lako elekeza kwa muhusika na ninaamini utajibiwa tu. Mbona wewe ulinijibu?! Ndo maana nakuambia jichukulie kama mfano!
Povu la mzugaji anapoambia mtu ache kuzuga ni noma eti!!Nasema jibu swali alafu uone swali lako utakavolijibu mwenyewe kupitia jibu lako
Usizuge kwanza maana swali halijafutika
Kama unalo jibu, jibu swali tuendelee 😀😀😀😀
Hakuna kuzuga hapa eti kenya airways wanunue dreamliner dunia isijue hahhahahahaha
😛😛😛😛😛😛😛😛 ama kweli asie na hili analile........wapenda sifa wanunue dream liner wasitangaze ahahhahhaha🙂🙂🙂
Na kama mngekua na link mgekua mushaniletea zamani na mishipa mushatunisha sasa tatizo swali limekaa kintego ndio maana mumeliingia🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Pamoja na mnara sawa😀😀😀😀😀😀😀
Swali limekushinda unataka kuzugazuga 😀😀😀Povu la mzugaji anapoambia mtu ache kuzuga ni noma eti!!
Kwanza mimi sina swali. Swali langu ulilikeshea na kwa kweli ukalijibu vizuri na Tukamalizana kwenye hilo sasa unatafuta kulipiza kwa kuniambia ni prove kitu ambacho sijakiongea he hehe. .. hiyo haipo! Labda kama ilikuepo kwenye faculty of aviation kule Moscow, ila hapa bongo hicho kitu hakipo.
Wanjala naomba tuonane hapa tafadhali😀😀Bentley Showroam in Kenya
Hivi unajua ni mtu wa aina gani anaekaa na ku-google chuo "aliosomea" bila hata kuangalia kama chuo kina faculty of aviation "aliosomea" kwenye ndoto zake?! Sina tatizo na mtu kama huyo kuniita kilaza. Kuitwa kilaza na mtu aliesomea faculty of aviation.... na ndo "professional" yake inachekesha zaidi ya kuchukiza.Na nilifurahi sana ulivoliingia swali la wanjala maana nilijua lazima atokee kilaza mmoja alivae na nilikua naimani CHOLO mzii ndio atakua wakwanza kulivaa kumbe sie kilaza wa kwanza umekua wewe😀😀😀😀😀
Waliolikwepa wameona mbali hahhaha wewe umelivaa Bomu vibaya hukuja kwa adabu 😛😛
Mimi sibishani na wewe na nilikwambia mm kusoma au kutosoma hio haiwezi kukushughulisha ila usikwepe swali na swali liko palepale umeamua kulivaa sasa naomba usizuge nenda direct to the question🙂🙂🙂🙂Hivi unajua ni mtu wa aina gani anaekaa na ku-google chuo "aliosomea" bila hata kuangalia kama chuo kina faculty of aviation "aliosomea" kwenye ndoto zake?! Sina tatizo na mtu kama huyo kuniita kilaza. Kuitwa kilaza na mtu aliesomea faculty of aviation.... na ndo "professional" yake inachekesha zaidi ya kuchukiza.
Wewe jikoshe moyo kwa wimbo wako wa mabom, lazima itakua mambo ya sub-faculty of aviation.
Hehehehe. ... siwezi kuteswa na mtu ambae hajasoma!!! Jiambie vyote ila Hiyo Haipogo!!!!Ichoboy anakutesa hvo hahhahahahhaha swali lenyewe dogo sana nilitegemea utalijibu wewe uliokumbatia bomu kumbe kilaza wa mwisho...na niliwah kusema toka mwanzo mwaka huu mbaya sana...mutadanganya nini sifa zikwapi tena😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Hatimae Bomu limekubutua sasa unatafuta chaka ukapoze machungu hahhaha😛😛😛😛😛
Eti ananiuliza swali wakati kaona swali lipo pale linalofanana na yeye 😛😛😛
Bomuuuuuuuuuuuuuuuuuuu la wanjala baya linakutesa mpaka kesho🙂🙂🙂😀😀😀
Kusoma kutosoma hilo halitakuhusu sana kinachokuhusu hapa ni kujibu swali tu au kutegua bomu uliolivaaa😀😀😀😀😀😀 kama huna jibu pumzika tuonane kwenye mada zingineHehehehe. ... siwezi kuteswa na mtu ambae hajasoma!!! Jiambie vyote ila Hiyo Haipogo!!!!
Swali utajibiwa ukitia juhudi zaidi. Wewe mwenyewe shahidi nilivyokubana siku tatu mfululizo mpaka ukatoa link!! Jichukulie kama mfano na uongeze juhudi u one kama hujajibiwa! He he heKusoma kutosoma hilo halitakuhusu sana kinachokuhusu hapa ni kujibu swali tu au kutegua bomu uliolivaaa😀😀😀😀😀😀 kama huna jibu pumzika tuonane kwenye mada zingine
Ulijibu wapi umelivamiwa mwenyewe utalijibu wapi?????? Maswali yangu uje kwa adabu na nidhamu kidogo sio mbiombio tu kama ulivokuja.......😀😀😀😀😀Swali utajibiwa ukitia juhudi zaidi. Wewe mwenyewe shahidi nilivyokubana siku tatu mfululizo mpaka ukatoa link!! Jichukulie kama mfano na uongeze juhudi u one kama hujajibiwa! He he he
Alafu Elimu saivi ni bure ujue?!!!
Epukana na Elimu za ku-Google vyuo!!
Au ulizungusha?😱
Hehehe.... haya basi, twende kama unavyotaka, Hebu weka hapa comment yangu inayoonyesha nilivyovamia swali... usije na mambo ya faculty of aviation hapa nionyeshe comment yangu inayoonyesha nilivyovamia swali ili niione coz comment inaweza ikawa vingine, wewe ukaelewa vingine. Nyie professional wa faculty of aviation siwaamini!! Tofauti na hapo endelea na wimbo wak wakufumbia macho....Ulijibu wapi umelivamiwa mwenyewe utalijibu wapi?????? Maswali yangu uje kwa adabu na nidhamu kidogo sio mbiombio tu kama ulivokuja.......😀😀😀😀😀
Siku nyingine utajiumiza bure kaka mm nakushauri pumzika tu tukutane kwenye mada zingine lakini kwa hili ushafeli zamani sana🙂🙂🙂
Customized plates for Sportpesa CEO Ronald Karauri.Hii number plate ni gani? ..ACE
Nikuoneshe mimi tena we vipi ??????Hehehe.... haya basi, twende kama unavyotaka, Hebu weka hapa comment yangu inayoonyesha nilivyovamia swali... usije na mambo ya faculty of aviation hapa nionyeshe comment yangu inayoonyesha nilivyovamia swali ili niione coz comment inaweza ikawa vingine, wewe ukaelewa vingine. Nyie professional wa faculty of aviation siwaamini!! Tofauti na hapo endelea na wimbo wak wakufumbia macho....
Tunamshukuru rais Magufuli elim saivi ni bure kabisa. QT pia ipo, cz nahisi ulizungusha nyie ndo waku-google vyuo vya sub-faculty of aviation😱