Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hazipo kwasababu hawajaamua kuzifundisha ngoja nikupe mfano mdogo sana utaelewa tu
Hizo ni baadhi ya course zilizo ndani ya aviation industry
 
Hizo pia ni course zilizo ndani ya aviation industry nachokueleza hapa kua aviation industry generally......so tuliza akili acha wengeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

So ninapo zungumzia aviation industry ni pana sana tena sana.......na tukianza kuielezea hapa hatuwez kumaliza Leo wala kesho
 
Labda wewe hydrogen nikuulize swali, wewe umesomea nini????? Na wapi??????????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tatizo lako ichoboy01 ni kurukaruka. Umeona sijui aircraft maintanance mara tower sio faculty umekuja na aviation industry!! Wewe ulisema faculty yako ni aviation. Nimeangalia Chuo chenu hakina faculty of aviation. Saivi unasema sub faculty... Faculty zilizopo zimepangwa vizuri kama faculties na sio sub faculty za aviation!! Inakua vigumu sana kukuchukulia serious kama unaweza ukaenda nje ya nchi ukasoma miaka minne engineering alafu unarudi hujui hata faculty za Chuo Chako! Ukiulizwa unaanza kuongelea upana wa aviation industry! Wewe paper la engineering unaweza kujibu kweli unavyoenda off topic kila wakati hivi?! Engineers wanastick kwenye issues. In engineering kama hujui formula na physics principles hujui tu. Unaleta mambo ya history swali hulijui lakini unaandika sheet mbili!!!
But anyway Unakumbuka hii comment yang.....
Wewe ungeenda shule sidhani kama ungefaulu!!! hehehe πŸ˜€... unakaza kichwa kichizi... Fatilia comment zangu toka mwanzo mimi nilichokuuliza ni wamiliki wa dreamliner hayo mengine umeongezea wewe.
Nilikua na wasiwasi na shule yako toka mwanzo.... Kuna vitu havifichiki....
 
πŸ™„πŸ™„
Unaona unavyorukaruka off topic?! Ukishidwa kujibu unachagua kinachokaribiana alafu unaanza kukijadili mwenyeweπŸ˜€πŸ˜€. Wewe paper la engineering huwezi kugusa! Komalia kinachoendana na wewe! Engineering achia wenyewe....
 
Some guys just won abnormal amounts of money in Nairobi from Sportpesa, the first guy won 221,300,000 which is 4,800,690,309.10 TZS and another 41,000,000 which is 889,271,222.50 TZS rolling in the streets












 
πŸ™„πŸ™„
Unaona unavyorukaruka off topic?! Ukishidwa kujibu unachagua kinachokaribiana alafu unaanza kukijadili mwenyeweπŸ˜€πŸ˜€. Wewe paper la engineering huwezi kugusa! Komalia kinachoendana na wewe! Engineering achia wenyewe....
Tatizo lako wewe hupendwi kushindwa hahhahah
Ngoja nikuache uendelee na unachokijua ww na mm nibaki nachokijua mimiπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Ahahhahahaahha haya endelea kujipa matumaini sana tena ila ndio nishakufundisha kuhusu aviation industry na nimatumaini yangu umeelewa vizuri sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hvi wewe nikuulize swali moja kusema nimesoma faculty ya aviation wewe hapo huelewi nini maana ni vitu hata wewe unatakiwa utumie akili au mtu aseme mm nimesoma business lakini business pia ni wide so kusema kwangu nimesoma faculty ya aviation ina maana nimegusa kwenye aviation industry na mtu kusema kasoma business haina maana kasoma business yote ila kuna faculty within business kasoma, sometimes sio kila kitu lazma uelekezwe hata wewe unatumia akili yako ya kuzaliwa kujua kinachoongelewa nini...
Na hii inaonesha kua wewe unapenda ligi zisizo na maana so au hujawah kuskia rubani anakwambia mm nimesomea mambo ya aviation....mtu anaweza kuzungumza generally so na kwa hio tabia yako bro huwezi kujua kitu am telling u, hio ni juu yako alafu don't pretend kua kila kitu unakijua hata mm nimesomea mambo ya aviation industry lakin siwez sema najua kila kitu, so mm nashkuru umenielewa toka tulipoanza mjadala lakini ukiskia kitu kinaitwa aviation ujue ni very wide na kenya airways hakuna ndege wamenunua cash ndege zote wamelease mm nimemaliza kama kuna mjadala mwengine tutaendelea, asante kwa kuelewa asante kwa kujaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Tatizo lako wewe hupendwi kushindwa hahhahah
Ngoja nikuache uendelee na unachokijua ww na mm nibaki nachokijua mimiπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Kubali uongo umejitenga.
Wewe huwezi ukawa engineer hiyo nakataa kutokana na argument zako! No engineer argues like that!! Unaulizwa hiki unaelezea kile! πŸ™„
 
Kubali uongo umejitenga.
Wewe huwezi ukawa engineer hiyo nakataa kutokana na argument zako! No engineer argues like that!! Unaulizwa hiki unaelezea kile! πŸ™„
Mm kua engineer au kutokua wewe huwez kuamulia chochote hapo ila naimani kuelewa umeelewa na hio ndio ilikua nia yanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kubali uongo umejitenga.
Wewe huwezi ukawa engineer hiyo nakataa kutokana na argument zako! No engineer argues like that!! Unaulizwa hiki unaelezea kile! πŸ™„
Ila mambo ya kujitia sifa kuwadanganya watu humu ndani kua kenya airways imenunua dreamliner cash... Am sorry bro....BIG NOπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Outering Road Nairobi is going to be one of the most beautiful roads in Africa, hivi Bongo kwatengezwa interchange?? Ubongo??








 
Hvi wewe nikuulize swali moja kusema nimesoma faculty ya aviation wewe hapo huelewi nini
huwezi ukasoma nje miaka4 unarudi hata hujui majina ya faculty za chuoni Kwako!
faculty within business, Yes! lakini sio business faculty. Mtu alieenda university hatakiwi kuongea vitu kama business faculty ama aviation faculty!
hujawah kuskia rubani anakwambia mm nimesomea mambo ya aviation
mambo ya aviation, sawa! lakini Technically hawezi kusema nimesomea faculty ya aviation wakati hata chuoni Kwake hakukua na faculty inayoitwa faculty of aviation.
hata mm nimesomea mambo ya aviation industry
hii sentensi... seriously?!! Mambo ya aviation!! This is soo vague! Hii sio sentensi ya mtu aliesota darasani to earn an engineering degree, trust me I know what it takes to be an engineer. zaidi zaidi ni kama namskiliza kijana wa kijiweni! Yani unamaneno lakini hakuna content hata kidogo. Kwa kifupi umejaa tell tale signs, I seriously doubt hata kama ulienda any university.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…