Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu nasikia mzee baba kamwagaa mabilioni fukwe za coco Beach kujemgwa kisasa, mwenye news atuletee

Pia nasikia Mwanza kunajengwa bus terminal matata na malls
Yah hi kweli kuna miradi imepitishwa kwa halmashauri kadhaa nchini, kwa mwanza hi ujenzi wa bus terminals 2, mwanza huwa ina bus terminals 2 ambazo zote kwa sasa ni crap, ile ya nyegezi itabaki kuwa nyegezi, ni ile ya buzuruga itahamishiwa nyamhongholo na itaitwa ilemela bus terminal, soko kuu la mwanza litafumuliwa na kuwa la kisasa zaidi, ujenzi waweza kuanza mwaka huu, nimeclarify miradi ya mwanza sababu ndio ninayoijua zaidi.

Hapa chini ni rendering images.

Nyegezi bus terminal.



Ilemela bus terminal
 
Hatari fireπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Watu wanatafuta shuka kumekuchaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…