Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ichoboy01 heheheheπŸ˜€ tatizo ni kwamba hata uigeuze kuwa wimbo haitobadili mtiririko wa comment! Na hapo ndio patam πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€! Zaidi zaidi utajitekenya weeeee
Nilijua umekuja kuokoa jahazi kumbe bogus hata bora Huyo wanjala maana alipoona amekosa jibu akabaki kimya kumaanisha kashindwaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eti kenya airways inunue dreamliner dunia isijue πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Hhahhahahha pumzika baba mm maswali yangu hua yako kimtengo sana na nilijua hili Bomu lazma uzae naloπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We
Unajua nin? Saivi ndo kama nimeelewa.....
Nikawaida baada ya kutafuta link siku tatu ndani ya hili povu....View attachment 503414
Lazima tu UKAZE KICHWA!
anyway, ulisema upo faculty ya aviation....... chuo gani vile??
Unaniuliza Chuo ganiπŸ˜€πŸ˜€
Siku nyingine kabla ya kuvamia swali kwanza angalia chanzo cha swali ahhahaaοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Utakuja kuingia choo cha kike utoke na skirtπŸ™‚πŸ™‚
Hilo lilikua Bomu la wanjala sasa wanjala mjanja alivoona linamripukia huyo akachomoka speed wewe ukajiona mjuaji ukalikombatia ona sasa lilivokupa tabu.....swali liko pale pale niletee official source au data inayosema kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote, I repeat ndege ya aina yoyote cash?????????
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
ichoboy01 heheheheπŸ˜€ tatizo ni kwamba hata uigeuze kuwa wimbo haitobadili mtiririko wa comment! Na hapo ndio patam πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€! Zaidi zaidi utajitekenya weeeee
Zaidi ninapo furahia ni kwamba umeingia kwenye professional yanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kumbe siku zote unajua dreamliner zenu πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Mbona SGR hamjatangaza mumelease πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Akili yako bado ndogo sana....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Profession au faculty?! Mbona huelewki?
 
Profession au faculty?! Mbona huelewki?
Bahati nzuri umegusa anga zangu hehehe wanjala mwenzako mjanja sana nimemsifu aiseeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wewe umejitia ujuaji umeenda kukombatia Bomu οΏΌοΏΌοΏΌοΏΌ
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Kwa kifupi bro pumzika tutakua tunapeana elimu taratibu mpaka tutaelewana tuοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌ πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Nia yangu wote tupate elimu
 
acha porojo.konyagi inauzwa kenya haiuzwi?.
mdanganyika akiamua kushikilia jambo moja huwa ni balaa. utashinda munazungukia apo apo tu.
apart from Konyagi na juice ya azam, mbona sijawai gongana na brand yoyote kutoka tz?
reread my previous comments about Konyagi. ama ufanye venye we upenda kufanya ukienda twitter
 
πŸ™„Jibu swali. Profession au faculty! Jamani na hili unahitaji kuigilizia?!
 
Ni faculty niliosomea na ndio professional yangu sasa hvi unalo swali lingine???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ungekua unajibu maswali fasta tunaendelea na mambo mengine, ingekua freshi sana tatizo wewe unarukaruka sana! Yaani hutulii!! Ila saivi nshakuzoea.
Anyway chuo gani? πŸ˜€
 
Mbona mambo yameanza mapema sana duuuuh
😳😳😳😳😳😳😳
 
Ungekua unajibu maswali fasta tunaendelea na mambo mengine, ingekua freshi sana tatizo wewe unarukaruka sana! Yaani hutulii!! Ila saivi nshakuzoea.
Anyway chuo gani? πŸ˜€
Nimesoma Moscow aviation institute
 
Thread hii imepata wachangiaji wengi sana. Mods tunaweza kuchapisha kitabu, of course baada ya ku filter comments za wasema hovyo. Sina uhakika kama kuna mtu amejaribu kutuletea mlinganisho wa miji hii miwili itakavyo kuwa 10 to 20 years to come. Labda hayo yangekuwa na tija sana tukatoa ushauri jinsi ya kuboresha hizo town plans. Sasa watu wanalingishana hivi vichochoro na vigorofa vilivyobanana bila mpangilio mimi nashangaa sana!
 
We vp unatafuta nn mbona sikuelew baba yangu mzazi haniuliz maswali kama hayo...uniulize wewe
Unataka kuniroga auπŸ˜€πŸ˜€
Usihofu.... sinaga hizo!
Ila unajua Moscow Aviation institute hawanaga faculty of aviation sasa hiyo faculty yako ya aviation sijui ulisomea MAI ipi!
 
Usihofu.... sinaga hizo!
Ila unajua Moscow Aviation institute hawanaga faculty of aviation sasa hiyo faculty yako ya aviation sijui ulisomea MAI ipi!
Unajua wewe unaasili ya ubishi, aviation industry in kubwa sana, na imekusanya faculty kibao zikiweno aeronautics engineering, aircraft maintenance engineering,kuna pilot studies, control tower, mambo ya aerospace etc ukiskia aviation ujue imekusanya mambo mengi sana tena sanaοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kua mpole kaka
 
Ushaanza povu tena!
Wewe mwenyewe ndo ulisema umesomea faculty of aviation
....... na ndo profession yako
Ni faculty niliosomea na ndio professional yangu sasa hvi unalo swali lingine???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
..... na umesomea Moscow aviation institute.
Nimesoma Moscow aviation institute
Sasa nimeangalia chuo chenuπŸ˜€ hawana faculty inayoitwa faculty of aviation, isitoshe hata hizi ulizotaja saivi (faculty of aircraft maintenance engineering, pilot studies, control tower) mbona hazipo? kuuliza ni kutafuta ufafanuzi, sijabisha chochote!!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Baba tusibishane sana nimekwambia aviation industry imekusanya sub faculty kibao nimekutajia zikiwemo....au unataka kujua sub faculty ya aviation niliosoma mm uliza ujibiwe, aeronautical engineering ndio nnimesoma mm ila nimekutajia aviation industry mambo iliokusanya kwa ujumla.....
Kwan lazma Chuo kiwe na faculty zote unazotaka wewe...tumia akili hata pilot studies iko ndani ya aviation industry, hata air ticketing studies iko ndani ya aviation industries......πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…