Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ungeenda shule sidhani kama ungefaulu!!! hehehe πŸ˜€... unakaza kichwa kichizi... Fatilia comment zangu toka mwanzo mimi nilichokuuliza ni wamiliki wa dreamliner hayo mengine umeongezea wewe.
Sasa kati ya Mimi na wewe alianza na swali nani na hilo swali umelikuta kwa nani????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Eti mnunue dreamliner cash dunia usijue πŸ™‚πŸ™‚
Labda dunia nyingine hiii so kwakifupi huna jibu na hutakua naloπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Konyagi ni chang'aa iliyowekwa kwenye chupa.

jambo la kushangaza,chang'aa hiyo hiyo iliyowekwa kwenye chupa,ina soko kubwa huko kwenyu na inapendwa sana na vijana wa kijenya.

kwa kuonyesha kwamba demand ya konyangi kwa Kenya ni kubwa,mmeamua kufikia hatua ya kutengeneza konyagi fake ili kukidhi mahitaji ya soko lenyu la ndani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hizo screenshots ni ancient af mate. ona hata dates
 
thibitisha kwamba hakuna konyagi fake kenya.nitaleta recent screenshot zinazungumzia konyagi kenya.


Yah..hiyo kitu wewe huiwezi.huna kichwa ya kuhimiri konyagi.
Mimi naeza kunywa smirnoff ama kenya cane coconut flavour....Ni 40%ka konyangi but konyangi ni kali
 
thibitisha kwamba hakuna konyagi fake kenya.nitaleta recent screenshot zinazungumzia konyagi kenya.


Yah..hiyo kitu wewe huiwezi.huna kichwa ya kuhimiri konyagi.
Sijui story za konyangi but his screenshots ni za 2015 na 2016
 
Jibu huna ahahhahaha assignment ya moto οΏΌπŸ˜€πŸ˜€
Ndio ilimshinda wanjala hio hahhahahhaha
Ukadandia treni kwa mbele....assignment kwanzaπŸ™‚πŸ™‚
HahahahaπŸ˜€πŸ˜€. Jifurahishe tu utakavyo ila ukweli upo kwenye mtiririko wa comment na ni kwamba mi sikusema chochote ambacho nahitaji-kuprove kwahiyo "assignment" yako does not apply. Unakumbuka hii comment?....
 
HahahahaπŸ˜€πŸ˜€. Jifurahishe tu utakavyo ila ukweli upo kwenye mtiririko wa comment na ni kwamba mi sikusema chochote ambacho nahitaji-kuprove kwahiyo "assignment" yako does not apply. Unakumbuka hii comment?....View attachment 503359
Nilikwambia hvi wanjala alinionesha link ya dreamliner nikamwambia wanjala aliniletee official source inayosema kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote Iwe dreamliner au 737 au 747 au airbus au chochote?????? Unataka niprove vipi na hamujanunua sasa...mulichokifanya nyie ni sub lease na ndio maana nikakuuliza swali unajua kwann kenya wamefanya sub lease dreamliner?????????
Wewe ulivamia swali hukuelewa swali?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Kumbe muda wote nakuelekeza kumbe hata swali lenyewe hukuelewa mm nilijua umekuja kumsaidia wanjala kuniletea official source ya kua kenya airways imenunua ndege yoyote cashοΏΌοΏΌ
Bro umeingia choo cha kikeπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
hawa jamaa kwa kukurupuka ndio wenyewe.
wakiona tu thread au comment imetaja kenya,bila kufanya uchunguzi,wanakurupuka kujibu. matokeo yake huishia kujidhalilisha.

kwenye ile thread yangu ya azam TV,Mkenya mmoja anayejiita Iconoclastes alikurupuka kuleta hoja ya kijinga kuhusu TV stations za tz.nikamchakaza faster.tangu siku hiyo hajarudi tena kwenye ile thread.
 
HahahahaπŸ˜€πŸ˜€. Jifurahishe tu utakavyo ila ukweli upo kwenye mtiririko wa comment na ni kwamba mi sikusema chochote ambacho nahitaji-kuprove kwahiyo "assignment" yako does not apply. Unakumbuka hii comment?....View attachment 503359
Hebu muulize wanjala vizuri swali nililomuuliza in lipi????????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mwenzako alileta link ya sub lease πŸ™‚πŸ™‚
Nikajua wanjala hajui maana ya sub lease ndio nikamuulza sasa aniletee official data zinazosema kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash, wanjala akaingia mtini ukaja wewe ukifkiri swali dogo kumbe Bomu ona sasa linavokutesaπŸ™‚πŸ™‚πŸ˜€
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Mm muda wote najua jamaa kaelewa swali nililomuuliza wanjala, nikajua amekuja kuokoa jahazi hahhahahahhaha kumbe hata swali lenyewe hakulielewa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Whaa!! Izi screenshots ni za tenee. nishawai manage restaurants za home na kinywaji ilikuwa ikiingia kwa market, lazma tuifanyie promotion. sasa walevi hupenda kusikia ati hii kinywaji haina hangover, taste poa, good performance "bedminton-wise"... n.k. sasa io hype iliisha. khalas! kuna brand nyingi za Kenya kama Jebel, Bluemoon, Moonwalker zilikuja na kasi sana but where are they now? apo tu kwa shelf. saa hizi huezi skia hype ya Konyagi vile. no wonder ume dig up archives
 
ichoboy01 heheheheπŸ˜€ tatizo ni kwamba hata uigeuze kuwa wimbo haitobadili mtiririko wa comment! Na hapo ndio patam πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€! Zaidi zaidi utajitekenya weeeee
 
Unajua nin? Saivi ndo kama nimeelewa.....
Nikawaida baada ya kutafuta link siku tatu ndani ya hili povu....
Lazima tu UKAZE KICHWA!
anyway, ulisema upo faculty ya aviation....... chuo gani vile??
 
acha porojo.konyagi inauzwa kenya haiuzwi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…