Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

4 Sides of Dar City views, till denying this is the Biggest and the Beautiful City in EAView attachment 1009111View attachment 1009112View attachment 1009113View attachment 1009114

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatari sana , tena hapo Hujarudia rudia hata moja

Kuna Ilala pia

32974351204_78c650acf4_o.jpg

33661218192_0d5b2772ce_o.jpg

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
From the Manipulator

View attachment 1008740

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hili dude ni noma,hii avenue itanoga sana miaka si mingi maana ukitokea Ubungo huku kuna barabara nane, huku kwnd posta barabara ya mwendo kasi, li interchange hilo la ubungo hapa jengo la dawasco hostel za chuo pia open area ya UDSM green moja matata miti tu (washauriwe kuweka park kama vipi) ukidondoka hapa jengo la mawasiliano halijawahi kunichosha hili jengo design yake kwa kweli upande wa pili mlimani city...... Hilo eneo linaloonekana wazi hapo kwny picha nafikiri ni la Aga Khan nje ya kujenga kile chuo kikubwa kule Arusha hapo anataka kuweka campus ya Dar mpango ni kwenda Vertical hatari fire!!!!!Afu hiyo barabara ya Sam Nujoma iko kwny ile project ya JICA ya kupanua barabara ya Mwenge-Morroco BRT ikiwa ndani what more can I say......
 
Hapo patakuja kuiva hakutafaa kufananisha na mahal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom