Wakenya bado hawaelewi tu,,,,!!!!!;;ngoja kukikucha ndiyo wazinduke.....Hatujaitupa reli ya zamani[emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 1011172
Naona wamesha ajili air hostess Mtanzania mwenye asili ya India, bado wakichina, huku ndiyo kujipanga. Hivi hiyo office ndiyo ile ya pale posta, nilienda last year mwanzoni ilikua imechoka sana.Na sasa air tanzania[emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116]
View attachment 1011166View attachment 1011167View attachment 1011168
View attachment 1011169
Ndio hio hio ya posta makao makuuNaona wamesha ajili air hostess Mtanzania mwenye asili ya India, bado wakichina, huku ndiyo kujipanga. Hivi hiyo office ndiyo ile ya pale posta, nilienda last year mwanzoni ilikua imechoka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.. ilikua imechoka sana, ilikua na touches za 90's!! kweli hii ni re branding.Ndio hio hio ya posta makao makuu
Daah nliingia hizo ofisi miaka mitatu ilopita asee noma sanaa, elevetors mbovu, ndani kuna feni za tandale no AC. Saa izz iko poa sanaaSafi sana.. ilikua imechoka sana, ilikua na touches za 90's!! kweli hii ni re branding.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa inachekesha sana[emoji2][emoji2]Naona wamesha ajili air hostess Mtanzania mwenye asili ya India, bado wakichina, huku ndiyo kujipanga. Hivi hiyo office ndiyo ile ya pale posta, nilienda last year mwanzoni ilikua imechoka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri sana
....Miaka ya 80s jengo hilohilo lilikuwa poa sana ktk majengo ya maeneo ya posta
Kwa speed hii ya meter gauge mbona ni sawa na speed ya SGR ya akina CoW....
Hahahaaa... tofauti ni ndogo sana! Hivi ile ya kaskazini waliishia wapi?Kwa speed hii ya meter gauge mbona ni sawa na speed ya SGR ya akina CoW....
Utauwa watu...Singida bus stage[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1011631View attachment 1011632View attachment 1011633
Ubepari (umimi) umewatafuna sana, public service nyingi ziko poor. Transport, health, education, maji e.t.c. mpaka umeme ni sehemu chache ndiyo zina umeme ila wenyewe wanakwambia wanaishi sehemu ndogo ya Kenya uko kwingine hamna watu.Upande huu Kenya haiwezi fuata hata Robo