Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
SanaThis city jamani ni bomba sana
SanaThis city jamani ni bomba sana
Kumbe kisu sasa kimeanza kuhusa mfupa😆😆😆😆😆😆😆👇👇👇👇👇👇 asante magu kaza kamba
Inabidi JPM azidishe kukaza kamba sioni sababu ya kuleta bidhaa zimo humu nchini!
Wanaitaji vitu vingi kutoka kwetu mfano vitunguu na mazao mengine ila sisi hatuitaji product zao ndio maana wana ngangania unfairInabidi JPM azidishe kukaza kamba sioni sababu ya kuleta bidhaa zimo humu nchini!
A million Dollar Photo:
Picha la kibabe
Like SGR kenya 😂😂😂👇👇👇