Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good morning!

IMG_7271.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kiherehere cha media za kenya ku expose sura ya huyu mwanajeshi kimewaponza.

mara nyingi sura za wanajeshi wa vitengo vya "special operations" hubaki kuwa siri. ndio maana mpaka leo mmarekani haijatoa picha au majina ya navy seal walioshiriki kumua osama bin laden.
Screenshot_2019-01-23-08-46-47-892_com.facebook.katana.jpeg
 
kiherehere cha media za kenya ku expose sura ya huyu mwanajeshi kimewaponza.

mara nyingi sura za wanajeshi wa vitengo vya "special operations" hubaki kuwa siri. ndio maana mpaka leo mmarekani haijatoa picha au majina ya navy seal walioshiriki kumua osama bin laden.
View attachment 1002424
Kwa mwendo huu, ikitokea next time wataogopa kusaidia!
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116]

BRT phase 2 inakuja kukutana na phase 1 pale magomeni, nazani muda siyo mrefu na pale lazima wataweka flyover. Halafu flyover siyo expensive, mpaka 2025 Dar inaweza ikawa na flyover zaidi ya 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kiherehere cha media za kenya ku expose sura ya huyu mwanajeshi kimewaponza.

mara nyingi sura za wanajeshi wa vitengo vya "special operations" hubaki kuwa siri. ndio maana mpaka leo mmarekani haijatoa picha au majina ya navy seal walioshiriki kumua osama bin laden.
View attachment 1002424
Hao wakenya huwa hawajuagi mbinu za kivita kabisa ....hiyo ni kawaida yao ni wapuuzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanadhani vita ni advertizment....""[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wacha nicheke kwa hili hawajui kama security inahitaji usalama na usiri zaidi

STUPID KENYAN ARMY & GOVERNMENT[emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app

Unakumbuka ishu ya US kupanua base kenya[emoji28][emoji28][emoji28],nayo ikawa habari.

Kuna uhuru na uhuru wa manyani.
 
Back
Top Bottom