Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
Badass!!!!!!! yaani iko poa sana
Badass!!!!!!! yaani iko poa sana
Picha zuri sana
Hii nchi Acha tu, ndio maana mabeberu haiwakauki midomoni kutwa kujadili issues zetu, Tanzania ni nchi ya pekee ulimwenguni.Aisee Tanzania imebarikiwa sana
KabisaHii nchi Acha tu, ndio maana mabeberu haiwakauki midomoni kutwa kujadili issues zetu, Tanzania ni nchi ya pekee ulimwenguni.
Utafikiri imechorwa.Sasa hii ndio development, tunataka more modern facilities like this in the country
BravoSasa hii ndio development, tunataka more modern facilities like this in the country
View attachment 1001569View attachment 1001570View attachment 1001572
Itakuwa ndo style yake hakuna cha kumalizia hapo, wanasema eti watainstall electricity in 4 years ila naona kwa mwendo wa madeni, bado sanaKuna swala kwa miezi mingi nimeshindwa kulielewa, hivi haya madaraja ya treni la mafuta ndio yanatumika kabla hayajakamilikaa? au ndio fashion yake?
View attachment 1001831
Kuna swala kwa miezi mingi nimeshindwa kulielewa, hivi haya madaraja ya treni la mafuta ndio yanatumika kabla hayajakamilikaa? au ndio fashion yake?
View attachment 1001831