Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Kwa namna hii nyumbu kwa nini wasijifiche mbugani kwao kimya? Acha tuwakumbushie maumivu mungiki wanaochungulia humu
Shikamoo Mbao Fc
Gormahia Tupaka kuleeee
Hawa inabidi wapigwe week!! Nasikiliza wachambuzi wakenya eti wanasema Simba imekua knocked out kwenye champions league na As Vita! Hawataki kuamini kwamba tupo kwenye group stagefc leopard wajiandae kuaga mashindano.
👏👏👏👏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇
Hii ndio flyover hapo Kamata au daraja la wapi?