Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya hasa nairobi imeona ukuaji mkubwa katika soko la mali, biashara, kituo cha jiji kadhalika na kadhalika. Mahitaji ya Nyumba nchini Kenya Inaendelea Kuongezeka. Sekta ya makazi nchini Kenya na hasa Nairobi inaendelea kukabiliana na kuongezeka kwa mahitaji katika vitengo vya makazi. Hii ni kutokana na idadi kubwa ya watu katika mji mkuu. Takwimu zinaonyesha mahitaji katika nyumba katika vitengo 200,000 kila mwaka.
 
Ndio maana Kiu jijini
 
All the way from Google translate
Kudos
 
two different cars with the same kenyan number plate. haki wakenya mungu anawaona.
 
wewe mbona unafuatikia sana safari za watu aisee!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema alikua shopping karibu na eneo la tukio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakimyilia mashaka kwanza anauza silaha ana kila sababu ya kuhojiwa.
[emoji2][emoji2]hakika huyo jamaa angekuwa bongo kwanza tungemkamata kwaajili ya mahojiano zaidi na mwisho wa siku asipoeleweka zaidi tungemtupia ndani acheze na nondo kidogo...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…