Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uongo mbaya hata mimi nimeingali hiyo picha mara mbili mbili.

Kazi ya Hii kitu . Hero 6 Black[emoji3]

IMG_5049.JPG




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wakenya wameanzisha movement ya kuzitaka media za kenya zicheze mziki wa kenya.

na hii ni moja ya ngoma wanayotaka ichezwe na media zao. ngoma inaitwa matako.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nimecheka sana hii nyimbo na kuna ingine hivi utakufa mbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom