Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa wanachungulia na kukimbia.
wana hasira kishenzi.... yaani ukikomenti kwenye thread zao, wote wanaacha kujadili issues, wanaanza kuku qoute na kuanza kuku attack.... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

nimekuwa nikitumia hiyo mbinu kuwaondoa kwenye concentration kwenye thread zao.[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sikia jamaa alichojibu[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
pesa wanayo make wanamziki wa kenya, inatosha tu kulipia rent kwenye apartment za wakikuyu jijini nairobi. ila sio kufanya investment. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Arusha tuufanye uwe mji wa kimataifa sababu ni kitovu cha utalii na pia kuna international agencies kama UN, AU Court na EAC na agencies zake. Arusha wajenge stendi ya mabasi na daladala za kisasa na sio huu ujinga uliopo sasa hasa pale Kilombero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaitwa uwanja wa mao ze dong ..kuwa na viwanja kama hiv ni muhimu sana kwa sababu ku host michuano mikubwa lazima viwanja vya mazoezi viwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly hapo Zanzibar kuna Amani Stadium upo vizuri jumlisha uwanja wa taifa na uhuru Dar, Kirumba mwanza na huo mpya wa dodoma utakaojengwe plus renovations za viwanja vngine. Tunaweza anza kuota kuhost AFCON.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Exactly hapo Zanzibar kuna Amani Stadium upo vizuri jumlisha uwanja wa taifa na uhuru Dar, Kirumba mwanza na huo mpya wa dodoma utakaojengwe plus renovations za viwanja vngine. Tunaweza anza kuota kuhost AFCON.

Sent using Jamii Forums mobile app
Afcon inahitaji viwanja vinne tu
Viwili visivyopungua 40k
Na vingine viwili visivyopungua 20k

Dar National stadium ina 60k
Underconstruction Dodoma itakuwa 80k sijui itaisha lin tho

Tuki renovate kirumba yenye 30k capacity
Renovate Uhuru stadium yenye 40k capacity
Sheikh abeid karume iwe 20k plus
Na znz kuwa 20k plus
Tunahost Afcon vzur


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…