Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Next cities are Moshi and Moro
Kuna mradi flan wa kujenga highway kutoka Arusha hadi Holili kenya 4ways ,wameshanza awamu ya kwanza kutoka tengeru hadi sakina 14km ,Moshi kuna vitu vichache tu wakiweka na kuongeza eneo tayari inakua city
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna madini gani iyo siipatSure, hivi mwenye kujua kuhusu uchimbaji wa madini yaliyopo milima ya pare na sambara atusaidie link maana nasikiaga tu wenyeji wakipelekwa mahakamani kwa uchimbaji haramu na pia wanakijiji wa upareni wakilalamikia changes za mto wao moja kutokana na shughuli za machimbo. Pia wakenya saba walikamatwaga wakisneak madini ya rubi kupitia mbuga ya mkomanzi, update please
TrueKweli kaka ila kwny uchumi kuna kitu kinaitwa Government Failure Theory vs Market Failure Theory....kuna vtu serikali ina ulazima kabisa wa ku-intervine ili mambo yaende sawa ndivyo ninavyoviongelea mimi sasa!!!!Baadhi ya maeneo Dar kutokuwa sawa yamesababishwa na kupuuzia theory kama hizi ambazo zinashikamana kbs na maisha yetu ya kila siku.
Hahahha sasa nchi nzima itakua ya ma CitizNext cities are Moshi and Moro
Kuna mradi flan wa kujenga highway kutoka Arusha hadi Holili kenya 4ways ,wameshanza awamu ya kwanza kutoka tengeru hadi sakina 14km ,Moshi kuna vitu vichache tu wakiweka na kuongeza eneo tayari inakua city
Sent using Jamii Forums mobile app
don't tell us this is dar es salaam, i will oppose it till tomorrow morning.breathtaking... View attachment 984980
breathtaking... View attachment 984980
Mungiki wangekwepo wangedai kua hiyo ni renderdon't tell us this is dar es salaam, i will oppose it till tomorrow morning.
Zanzibar inatisha sio mchezo...hii ndio sababu inayofanya wale wakenya wachache toka kwenye ruling/business families kuja kula bata tanzania katika msimu wa holidays. tanzania kuna vitu vizuri zaidi ambavyo kenya havipo.
zanzibar mouja hiyo.. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 984733
Hahahahaa
Hahhaah eti wanajiita developed😂😂😂😂