Upande upi mbona kama ubungo iko taitiEast Afrika Commercial and Logistics Center ni kituo cha biashara kinajengwa eneo la Ubungo bus terninal kuanzia Jan 19 hadi Jun 20. Kutakuwa na maduka yapatayo 2600 - 2800 ambayo yatauzwa kuanzia USD 50'000 hadi 100'000 na unakuwa na umiliki wa miaka30. Biashara za aina zote zitapatikana. huduma za benk na ofisi za serikali TRA. uhamiaji n.k.ONE STOP CENTER.
Dar huwez piga picha picha moja ukamaliza karikoo yenyewe huimalizi kwenye picha moja😂😂😂😂Leta picha yote ya Dar basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu nitakujulisha hapo kwenye picha hakuna CBD..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Naona nairobi imekwisha hapo just one pic[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Westland ndani
Upperhill ndani
CBD ndani
Kwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we are well aware that you can't resist the pressure you are getting from this thread. boycotting won't stop it from trending. it will remain number one in 2019 as it was in 2017 and 2018.
Wanaeza kusema ni europe[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
View attachment 979775View attachment 979776View attachment 979777View attachment 979778View attachment 979779
BravoBy me [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7].
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huo uwanja wa Tabora haupishani sana na ule wa Nairobi [emoji1]Tabora[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 979918