Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakati huhuo, siasa zao za kikabila zimeshaanza kuchukua nafasi mapema sana kabla ya muda rasmi wa uchaguzi.

sisi wengine tulishatabili kwambwa kabla ya uchaguzi wao wa 2022,lazima mkikuyu atahahikisha mkelenjini william ruto hawai rais wa kenya licha kuwa mtu wa karibu na uhuru kenyatta.
View attachment 978716
😂😂😂 Publicly a certain public figure anawaambia kabila fulani waungane kama wanataka mmoja wao awe kiongozi 😔 that's only in Kenya, tribalism kweli ipo next level huko
 
67EC1DDE-990E-426E-AC0E-8802E37910EC.jpeg
 
trending speed ya thread zinazoanzishwa na wakenya ili kushindana na thread ya battle iliyoanzishwa na watanzania.


thread za wakenya vile zina-trend.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
unnamed_1545922416452.gif


battle thread vile ina-trend
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
unnamed-1.gif
 
Asanteni wakenya kwa kuwapa pesa nyingie vijana wetu wazilete nyumbani[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom