nimeiona, nimemwambia moderator aipeleke kwenye jukwaa la malalamiko.Nimekutag ile thread wamefungua nenda uone machozi yakivowatoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanalia na ichoboy
mwenzio kashindwa kusimamia msimamo wenyu. tayari ame-comment.....hata akifuta haisadii.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382]Battle nayo sai ni R.I.P bila wakenya
Download the Group Kenya app! Group Kenya
Any Kenyan who comments there is a traiter...
Download the Group Kenya app! Group Kenya
MK254 can open a new thread for our city.
hahahaha.... imekula kwake. kumbe colomzii aka kilaza ndio MsapereCollo ambae ndio Msapere amejaribu mara nyingi mpaka kuanzisha battle yake nyingine ya vichochoroni against hii grand grid lakini alishindwa vibaya, kuhamasishana wasusie huu mziki hawajaanza leo lakini kila siku wanaangukia pua wapo weak sana
Hili ngoma sio la kitoto lipo na litaendelea
This is epic
Achana kwanza uwezo wao mdogo Akili ndogo haziwezi Ongoza Akili kubwa kamweWanawake ndio wanatabia Za kununa na kususa[emoji23][emoji23][emoji23] na ndio maana hua wanapigwa sana na wanawake zao...hahaha nmecheka sana leo, Jitahidi mnune kabisa naenda kuleta yeast mvimbe mpasuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu kimetuliaπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπΉπΏπππππ
Hahaaaa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241] [emoji1241] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
watajua hawajui... [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382]
Hongera sana madogo ..hongera sana Tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]gold medal[emoji122][emoji122][emoji122]