ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Unajua wewe tatizo lako nililoliona ukua unafkiri suburbs lazma nyumba ziwe zikifanana au rangi moja, bro tanzania kila MTU anamiliki ardhi na kila mmoja anajenga nyumba anavojiskia yeye Kenya nyumba nyingi zinajengwa na wawekezaji lazma utafautishe nilikueleza toka mwanzo na narudia kukwambia tena....Twataka kuona suburbs
Hvi unaelewa nachokueleza au wewe kichwa chako kimejaa maji????¿??So hauna