tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hivi hua unazungumzia udogo gani man?Hehheheh ukweli huutaki lakini haubadiliki na bado nairobi itakua ndogo sana tena sana kwa dar, so tuliza ubongo punguza wenge....
Kwan nachoongea hapo uongo au?????????😀😀😀😀😀😀😀
Chukulia eneo ya karikoo pekee jinsi lolivyopangiliwa na kua kanda maalumu yakiuchuki Dar na kodi!! Alafu nenda mikoa kama lindi bonge binge mkoa alafu hamna lolote, what matter ni matumizi sahihi ya ardhi na sio ukubwa pekee