Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Look at this Fool! We unajua Kisumu?? Ama unaiskia tu, Kisumu actually has the highest number of 4* hotels and Malls Outside Nairobi & Mombasa. Wacha kujifanya unajua Kenya bro.
Kisumu nzima in fact the whole of Nyanza lacks a 4 star hotel! Leave aside 5 Star hotel!
 
[emoji1][emoji1][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]kweli wakenya mnashida yaani ushaamia kwenye 4star...

Duh kweli hizo ni 4 star sasa ndiyo nakuelewa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji1][emoji1] sema unazidi kunivunja mbavu leta na 6star tuzidi kuona yanayostaajabisha
 
i am sure youve got no clue about ratings....shut up
 
Hawa watu wana roho mbaya sana, hawapendi wenzao waendelee that's why kila kitu tunachofanya wanasema ni competition au kuwaiga. Kama wanadhani tutarudi nyuma kwa maneno haya ya kipumbavu watasubiri sana
Hawapendi maendeleo ya wenzao kabisa roho zao mbaya sana ikiwa wao kwa wao hawapendani je wanje?? 10 yrs of developments in tanzania imefanya mambo zaidi ya miaka 40 ya kwa, yani miaka 40 walikua na opportunity ya kuendelea ila leo ukiwatazama hawana mbele wala nyumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…