Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thibitisha km hzo ni 25 km kutoka angani...rudi mhumbili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angalia hilo jengo la jipya la blue liko over 20km from CBDπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
AiseeπŸ˜€ huyu ichoboy ananimaliza kwa kicheko. Yaani haelewi maana ya black woman.
Ichoboy,I said,she was the first black female to attain a PhD in nuclear physics from UConn
Hujanijibu swali nimekuuliza ndio phd ya kwanza duniani?????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] asante kw kukwepa swali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kumbe KTN huikubali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chakwenu hukikubali 😁😁😁😁
 
Mombasa island....woow!!
Mombasa is more developed tha your so called zanzibar a country...hebu tuma capital ya zanzibar hapa tuione
Sasa nioneshe ni jengo gani mombasa nzima hakuna kwenye hii picha ukipata nitagπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
So mzungu ni mjinga sana sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] kwamba kangemi, mathare, makuru kayaba etc sio slums
View attachment 964662View attachment 964663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nadhani wanjala amekudunga hii[emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
AiseeπŸ˜€ huyu ichoboy ananimaliza kwa kicheko. Yaani haelewi maana ya black woman.
Ichoboy,I said,she was the first black female to attain a PhD in nuclear physics from UConn
Ndio nakushangaa sana sisi tunae mtu ni scientist wa hio fani kazeekana hio fani bila mafanikio usisahau this is africa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Wacha kuhamisha magoli..ulifikiria tumesahau mkiimba mko na deni la $2bln[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ww labda kiswahili chako kibovu alisema ziko nchi east africa deni lake ni 2b usd hakusema tanzania usitafute kick ya kutokeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…