Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

1544529049014.png
 
Sana sana wataomba ubalozi uwasaidie wawaweke kwenye guest za vichochoroni. Ukweli sijafika India ila nimekaa sehemu zote zinazoizunguka. Watu tumezoea kuweka 5 stars and 4 na kulala una kula ukikamua kulala Airport. Pale Dubai ukienda ile ya Gold, Silver na Platinum unamzidi aliyelala hotelini. Halafu uniambie haya ya kuletwa?
Hahaha! Mkuu hapo naona kabisa hata kwa uzalendo huwezi kupanda ATC kwenda China! Gold, do! Una check-in kupitia Business Class, unaruhusiwa excess baggage free, unakula vitu vya Businss Class Lounge etc. Halafu lounge za Emirates baba!
 
Mbona ulaya ni ya kawaida sana haya
Mleta mada kazungumzia kuhusu Airtanzania, hajazungumzia mashirika ya ndege ya Africa. Sasa wewe unasema Ulaya, kwani ulaya ni nchi? Ni bara lenye nchi nyingi sana sasa wewe taja ni shirika la nchi gani huko ulaya ambalo ni kawaida kubeba abiria 6 na wafanyakazi 6 kwenye ndege yenye uwezo wa kubeba abiria 90.
Usilete siasa hapa.
 
Minitu kama nyie ndio sawa na wale wana wa israel wametoka utumwani wanafika jangwani wanatamani tena kurudi utumwani kwa sababu kule wameaacha masufuria ya nyama na pilau!

Hivi hao walioweza waliaanzaje? Unafikiri waliibuka tu?
Hatutaki mtu anaota ndotoni akiwa amelala na mafaili yake kesho yake akakurupuka kuagiza madege bila kufanya feasibility study. Matokeo yake ndiyo hayo dege la kubeba watu 300 linarushwa na abiria sita! Mnamtetea na kusifia lakini kiuhalisia ni janga kubwa
 
Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.

Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!
Baba la baba hiyo route unayoilinganisha ni tofauti mno aise.Hebu jaribu kufikiria kiasi chako.
 
Washamba tu ndio hudhani ndege ni ufahari.Hakuna fahari kubwa inayozidi Ajira kwa watu wako.Wewe miaka minne hujatoa ajira,ukiambiwa uchumi unakufa unadhani wanaua wapinzani.
 
Licha ya kuwa kila biashara inachangamoto ila tungeboresha na kupata uhakika wa biashara ndani ya nchi kabla ya kutoka nje ya nchi
 
Wewe mbona hujaelewa? Kwa sababu ya kuleta hasara kutokana na kutokuwa na business plan ya brand new long range aircraft (Greamliner) pamaja na raisi kujitahidi kuwanunulia hiyo ndege kwa cash maana mwanzoni walikuwa wanasingizia hawana ndege!!!!!!!!!!!! It is business time siyo muda wote ni wa porojo za kisiasa mkuu
"Pamoja na rais kutununulia ndege" alitoa pesa mfukoni mwake?
Pathetic.....
 
"Tumenunua ndege kwa hera zetu"
"Tumeripa cash"
"We are on the right track" , "Watanzania mtembee vifua mbere"

Mara zote muda ni hakimu mzuri.
 
Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.

Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!

Kenya wapo wanapiga safari. Sema tu badala ya siku saba 7 wamefanya kuwa 5, sio mbaya wanakusanya watalii.

Kiukweli Kenya wako mbali ktk mengi, hata kama ni kujigamba waacheni maana ni haki yao.
 
Back
Top Bottom