Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanaumia sana hawa watu waone hvo tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli..hii city inaniumiza sana moyo
manzese-980d6ac6-0f71-4237-b61d-83162fdc3f0-resize-750.jpeg
 
Posta inapambanishwa na upperhill westland na CBD [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] safari mumekamatika kiutamu sana
Westlands si ilishinda posta kw ile thread mpka mkatokomea
 
Yani mpaka machozi yamenitoka sijui wakenya munalaana gani[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Kwn ile ya amber rutty hukulia na ushoga dar ulishangilia.[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Mwenzako alileta gari za polisi akajua tanzania hakuna ila alikimbia mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiii...gari za akari wa county kenya ziko far better kushinda za askari wa bongo...unabisha
 
Yani nimecheka sana hili tukio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]







Alaf baada ya kusepa wakamuacha na socks moja si bora wangechukua na hio[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 963011
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kaa rada bro...
 
Back
Top Bottom