Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mungu atupe uhai tutaona mengi sana👇👇👇👇👇👇👇👇👇 maskini ya Mungu

 
Mwenzako alileta gari za polisi akajua tanzania hakuna ila alikimbia mwenyewe😂😂😂😂
wewe utakufa na stress ya Nairobi ubebwe na ile LORRY wakati wa mazishi yako..🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Port of dar es salaam😂😂👇👇View attachment 962971
port of Mombasa iyo yenu ni kijiporti..
1544441703345.png
 
hahahhaha kama westy pekee hamuiwezi..labda Kilimani vs Dar..Na kilimani itashinda hahahhahahha..wewe utakufa ubebwe na ile Lorry hahahahahaha
Umeishiwa hoja tayari 😂😂😂😂 posta imeweza kuoambana na westland CBD na uppehill kweli yajayo yanafurahisha😁😁
 
Ebana wakora wamemuibia kila kitu😂😂😂😂😂😂😂😂 wametaka mpaka kumvua chupi😁😁😁😁😁😁😁👇👇👇👇
kadoda11 kuja budaaaa



 
Back
Top Bottom