ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Dar imekimbiza mwizi
Yani hawana amani kabisa sasa hvi posta pekeake inapambana na westland upperhill na CBD post alone😂😂😂😂😂
Dar imekimbiza mwizi
Hapo ni kitengera na hiyo place ni kubwa kuliko hiyo umepostKaka acha masihara
Cbd ya Bongo ni mwiba wenye sumu kaliYani hawana amani kabisa sasa hvi posta pekeake inapambana na westland upperhill na CBD post alone![]()
Mm sizungumzii ukubwa...Masaki ni nzuri sana na kubwa piaHapo ni kitengera na hiyo place ni kubwa kuliko hiyo umepost
Dar vs upperhill na robo Westland s alafu mnasema mnakimbiza Nani....yaani Nairobi ukiweka cbd Westland yote na kilima ata Joburg hawatushikiDar imekimbiza mwizi




nasema na narudia tutaaza kukimbizana na Kuala Lumpur Sisi Africa hatuna mpinzani



Hahahha yani nimecheka sana kumbe posta ni kiwembe hatari sana😂😂😂Cbd ya Bongo ni mwiba wenye sumu kali
No upperhill Vs dar wacha nikurekebishe kijana sindano imekuingia Hadi pressure imepandaSo upperhill Na westland pamoja na CBd inashindana na posta
Ngoja nikuoneshe jengo gani hakuna
View attachment 962815View attachment 962814









Pia hiyo ni kubwa sanaMm sizungumzii ukubwa...Masaki ni nzuri sana na kubwa pia
Hio picha ya 2000 hata majengo matakatifu hayapo hapo bila shala umepanic alaf lapili anaglia umbali wa hzo pic mbili😂😂😂😂😂😂😂😂😂Haka katown kwa wetlands bado sanaView attachment 962838View attachment 962839
No upperhill Vs dar wacha nikurekebishe kijana sindano imekuingia Hadi pressure imepanda![]()
Sindano Hadi ikuingie






Posta inapambana westland upperhill na CBD nimecheka sana leo😂😂😂😂😂
Ni uchizi wakupindukiaMtu analeta picha ya dar imepigwa more than 20km alaf anapambanisha na picha ya nairobi imepigwa 5km![]()


Hivyo vibanda vya hapo mbele mbona havieleweki



vimefubaa sana