Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

0.125 of westy
1544437100875.png
Posta plus Kariakoo
1544437233698.png
 
Nairobi ya 80s ndio hii picha ya 2018 ata hio cbd umepost haiko hapa no upperhill Nairobi robo ya Westlands ....lazima leo upumulie kwa mashine[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji603][emoji603][emoji603]pale mhumbili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 962769
VS Dar es Salaam ya 2016
4.-Dar-es-Salaam-Tanzania.jpg


Hapa hamna misitu kama ilivyo kwa hiyo yenu ya Nairobi, only towers bila mwisho
 
Mibongo saa zingine vichaaa sasa nini haswa itatuma tuumie hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuwanga serious kijana na utembee kidogo [emoji23][emoji23][emoji23]
Ntafika NBO ila ningependelea zaidi niendeshe mwenyewe ...hadi nijipange niweke mambo yangu sawa kwanza
 
Mbavu zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio wanasema tunaumia....mungu aendelee kuniweka Manisha marefu nizidi kuona maajabu
tapatalk_1544437479762.jpeg
 
Ndege za kwetu wenyewe hata zikipiga route za ndani,who's gonna care!!..tungekuwa tume-lease kama nyinyi tungeanza kuwa na wenge maana muzungu anataka chake ye hajui kama umepata faida au hasara!so sad!
Wacha kulia basi pangusa machozi babaaa!!!
 
Nairobi 1990
1544437633392.png

Dar es salaam 2018 december 10th
 

Attachments

  • 1544437682141.png
    1544437682141.png
    267 KB · Views: 32
According to you[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] !!!yani kwenu city ni government buildings tosha...mpewe kofia na kanga za kijani na mpikiwe mpunga...mwisho c hoyeeee....duh!!yani kenya ya 90s..unadanganywa na chakula kweli..
 
Back
Top Bottom