Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Iko wapi MNf towers iko BOT towers iko wapi rita towers iko wapi benjami tower hebu tuoneshe ziko wapi au zilibomolewa mzizima towers ziko wapi?????
Leo nazaa na wewe Rita na mnf nimekuonyesha hapa Chino ikiwa u/cunafikiria hatuijui far wewe
IMG_20181210_121311.jpeg
 
So upperhill na westland pamoja na nairobi CBd inashindana na posta dar
Wacha kujifanya zuzu....nilikwambia cbd iko upande wa Chini WA upperhill karibu na uap alafu Una insist Luna cbd,tukiweka cbd ata Joburg haitushiki
 
Wacha kujifanya zuzu....nilikwambia cbd iko upande wa Chini WA upperhill karibu na uap alafu Una insist Luna cbd,tukiweka cbd ata Joburg haitushiki

Jibu tu westland upperhill na CBd nairobi inahahindana na POsta dar😂😂😂😂😂
Nimecheka sana leo
B1CE4290-1E15-4FB5-9B09-9563960BBBB3.jpeg
 
Back
Top Bottom