Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua nyie mnachekesha. So kuwa na building ndefu ndio kitu gani sasa? Dubai in 2004 unajua ilikuwaje? London, Shanghai in 2004 hazikuwa kama zilivyo leo. Sasa hivi kuna skyscraper boom na haijalishi miaka hiyo ilikuwaje. Kuweni educated for once basi.
Anyway mlijaribu kwa kujenga hizi tatu lakini kujenga zingine itawachukua miaka Mia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1540151033905.jpeg
 
Put numbers alaf niambie zimefika 30 munataka kutuletea usanii hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
According to avic official link is 42 35 29 27 25 23
Majengo kuisha hayajaisha munaanza kutuletea usanii[emoji3][emoji3][emoji3]
Bring that official link
 
Shida ya hii mumejenga Kwa slum hiyonekani vizuri[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
tapatalk_1544348433759.jpeg
tapatalk_1543436399910.jpeg
 
Back
Top Bottom