Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwanza hata hawafai kuongelea number of floors now because we are in another level.
Kuna mwingine alikua anasema tunatembelea kichwa kabla avic ku upgrade....sasa alikuja na style ingine eti hayo majengo ni ya mchina
 
Aliinsist GTC iko na buildings mbili pekee above 30flr, ati ya kwanza 42 na ingine 35, nilipita uko jana na the shortest iko kwa 30 ile refu iko 37 bado.
Hiyo ndogo ndio hii hapa ya Kwanza...na skyscrapercity pia wajawahi weka collect number ya floors sababu inafa iwe 43,37,33,32,32,30
44662066475_6de7172033_o.jpeg
 
Umesahau hazina traders Center.
Hiyo ni controversial sana ndio sababu sijahesabu..... although construction inaendelea lakini hawajasema kama inaendelea hadi 40flr au ina topout ikiwa 15flr
 
Msee night club ni kitu ya kusheherekea?...sidhani kuna mkenya atareply hio upuzi huo night clubs nairobi ni over 2000 ..wacha upuz
Kwasababu mumekosa😂😂😂👏👏👏 ndio maana imekua ya kipuuzi ile mgepata kama hzo isingekua ya kipuuzi
 
Kwanza hata hawafai kuongelea number of floors now because we are in another level.

Endelea kujidanganya hvo hvo tunachosubiri ziishe alaf sasa tuanze kuhesabu na musine lia humu ndani😂😂😂😂
 
Hiyo ndogo ndio hii hapa ya Kwanza...na skyscrapercity pia wajawahi weka collect number ya floors sababu inafa iwe 43,37,33,32,32,30View attachment 961296
Put numbers alaf niambie zimefika 30 munataka kutuletea usanii hapa 😂😂😂😂
According to avic official link is 42 35 29 27 25 23
Majengo kuisha hayajaisha munaanza kutuletea usanii😀😀😀
 
Back
Top Bottom