Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hat year, the airline ordered two Airbus A310-300s. Kenya Airways was the first African carrier to acquire the type, and they were the first wide-bodies ordered by the company.[24] Funded with a US$20,000,000 (equivalent to $43,697,632 in 2016)
Unanielewa kiswahili niletee facts ambayo kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash achana na hizo za kulease hahahahahha tuliza ubongo kwanza😀😀😀
 
Wewe leta facts pia hapa mmenunua dreamliner cash
 
Unanielewa kiswahili niletee facts ambayo kenya airways imenunua ndege ya aina yoyote cash achana na hizo za kulease hahahahahha tuliza ubongo kwanza😀😀😀
Kenya airways leases its planes to other carriers. Not the other way round
 
Mkuu hivi Boeing ya air tz imefika ?kama haijafka lini itafika?
Mwezi wa tano au wa sita mwaka huu tuna pokea bomadier q 400 mpya alaf mwakani mwezi wa sita tunapokea ndege 3 ikiwemo boeing 787 dream liner pamoja na bombadier CS 300 mbili zitakua na uwezo wakubeba abiria 160 kila moja na zote zimenunuliwa cash
 
How on earth do you compare your airliine na KQ? Now you are purely deluded mate
 
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
lkner7zutgvkbor55d77ea57ecfa.jpg

NBO_SUBWAY_MAP-830x580.jpg
 
Mwezi wa tano au wa sita mwaka huu tuna pokea bomadier q 400 mpya alaf mwakani mwezi wa sita tunapokea ndege 3 ikiwemo boeing 787 dream liner pamoja na bombadier CS 300 mbili zitakua na uwezo wakubeba abiria 160 kila moja na zote zimenunuliwa cash
You cant compare the two airlines mate
Yours is inferior by far
kq.PNG
tz.PNG
 
hhahaha kenye buying aircraft cash kumekushinda hahahahahahaha sasa ndo siku nyingine ujifunze kua kenya airways hawamiliki hata ndege moja zote ni za kulease my friend
nope, ona hio link. Plus KQ has a fleet of 37, 62 destinations, how do you compare that to Air Tanzania. Nimekupa link showning za KQ na leased. Show me penye inasema all KQ planes are leased
 
na hizo zote on order zimenunuliwa cash so jumla ndege 7 zimenunuliwa cash hahahah tanzania hatariiiii
Yaani una compare KQ na huu uchafu wetu hapa? Yaani unalinganisha mavi na keki?mxxxx
 
nope, ona hio link. Plus KQ has a fleet of 37, 62 destinations, how do you compare that to Air Tanzania. Nimekupa link showning za KQ na leased. Show me penye inasema all KQ planes are leased
hahahahaha unachekesha wewe nioneshe link kua kenya airways imenunua ndege cash ya aina yoyote niletee facts hapa
 
Back
Top Bottom