Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kwani dar ukitoa posta unabaki na nini?
BTW, lile gari la mazishi liko wapi? Siamini watu wameanza kufa bongo.
I told ya ichoboy, a time will come when ants ,termites whatever they are called will feast on your fat body. You are not immortal. I hope you haven't spread those genes coz tz will suffer eternally
Hahahahaha dar kuna posta, kariakoo, upanga, kijitonyama, ilala, magomeni, mikocheni, oyesterbay, masaki, msasani, mbezi beach etc😂😂😂😂😂😂
 
Nairobi is more than what you think kijana
Hakuna kitu budaa ndio maana nimekwambia hapa nairobi imekwisha sasa unakasirika wakat ni ukweli😂😂😂😂😂👇👇👇
8CEE6B10-7C35-4E12-A444-D5E5F1E9A5BA.jpeg
 
Na naona iko nje kabisa ya nairobi ni kweli au uongo????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Today you have proven me right that you know nothing. Hapo pia ni Nairobi, ama unadhani CBD, Westy na upperhill pekee ndo Nairobi?
 
Hahahahaha dar kuna posta, kariakoo, upanga, kijitonyama, ilala, magomeni, mikocheni, oyesterbay, masaki, msasani, mbezi beach etc[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijitonyama, magomeni ,mikocheni ziko hapa na sioni kitu cha ajabu hapa, only slums.
tapatalk_1543469656108.jpeg
 
Na kwani dar ukitoa posta unabaki na nini?
BTW, lile gari la mazishi liko wapi? Siamini watu wameanza kufa bongo.
I told ya ichoboy, a time will come when ants ,termites whatever they are called will feast on your fat body. You are not immortal. I hope you haven't spread those genes coz tz will suffer eternally
Waleteni wapokot na waturkana tuwasuluhishe vita vyao kama hamutojali👇👇👇👇👇👇

Back
Top Bottom