Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Respect kwa Annael na Watanzania wote tunaowafumbua vipofu wakikenya nakuweza kuona uhalisia[emoji103][emoji122]
 
Wanjala sialikuja juzi Dar akawa anasema kuna mijumba aliiona akatamani iwe uko Nairobi. ..ongea vizur nae akusimulie
Wanjala nae alikuwa ni muongo hajakanyaga dar hana pesa yule ni choka tu chokoraa unemployment anazururazurura city center kufind wi_fi[emoji1][emoji1]
 
Huo ndio ukweli utake usitake na ukweli hautabadilika ndio maana tanzania ina heshma kubwa sana africa na duniani [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Na ni nchi yenye ushawishi mkubwa kushinda kenya kwa 99%

Tz ni miongoni mwa nchi zenye ushawishi duniani....
 
Thanks Liverpool kwa ushindi.......sasa naweza kulala vizuri[emoji103][emoji103][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…