Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni road map ya dar almost 500km
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] sasa niletee road map ya nairobi ikizidi 200km nitag nasubiria
View attachment 955044
Wewe uko na akili mzuri? Mimi natataka picha ya izo Barbara si izi map ya kijinga...na kama unajiami na dar na bara bara umipe picha moja nakujibu na mbili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toa hizi takataka hapa ata hauna aibu ukionyesha huu uchafu?
 
Nenda kugali......au bujumbura huku haupawezi hauna pesa....[emoji2][emoji2]
Hakuna hoteli poa ya rates za 100usd per night?pesa Niko nayo bt ikikuja ni holidays nakuanga strictly on budget.holiday sio kama business trip ati pesa itarudi,hairudi buda....
 
Shukran... kindly ebu suggest hoteli mbili ama tatu za iyo rate 100usd nifanye research kidogo .. thanks.
 
How can you construct a stadium in Dododma ??...Dodoma doesnt have an Airport,has bad roads,looks like isiolo...how??
Ndo usubiri uone bwege wewe airport na stadium zinahusianaje, upo uwanja wa ndege japo sio mkubwa
 
We jamaa bhana utawafanya wakimbie kabisaa[emoji23][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6] eti private pipo

ajabu jana kwenye mgomo wa matatu sijaona jam kwa baarabara,.hii inaonyesha wengi hawana magari. Ilipaswa jana ndo PRIVATE CAR ZIJAE KWA ROADS
 
Wachovu kila mahali wapo tu,kumbuka city hua lazima iwe na watu wa aina zote, well kuna mabadiliko kwa sasa nadhan mji umepimwa upya lazima watafanya demolition baadhi ya maeneo na kujenga upya...
Hapa itabidi mbomoe Dar slum karibia yote sababu slum area ni 92%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…