Wenzenu tunapanga kwa kutekeleza ni jinsi gani yakupunguza foleni nyie mnajisifia kuwa na Jamz [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Inajaza ile brt yao yote hadi zingine ziongezwe kwa presidential escort yao. Plus MPs wao wapewe kila mmoja. [emoji23]
Halafu ni kwa picha yakaribu tu je ikipigwa kwa mbali si itakuwa Siafu n jangwa citySo unataka kushindana na dar kwenye total roads in km [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili yako unaoda dar imeisha hapo???? Upanga iko wapi??? Kariakoo iko wapi??? Kijitonyama iko wapi?? Magomeni and ilala zikwapi??? Ubungo iko wapi???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa dar utapasuka
Sio kama hii city nzima inakaa kwenye picha moja[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 954991
Nairobi jam haiepukiki kwasababu iko very congested mm nimetolea mfano mdogo sana mm nikitoka CBD nina njia tofaut 6 za kufika ilala hio jam yakipuuzi itatokea wapiWenzenu tunapanga kwa kutekeleza ni jinsi gani yakupunguza foleni nyie mnajisifia kuwa na Jamz [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Uko tushatoka na tunachofanya nikuboresha kila eneo ikiwemo utaratibu mzuri wa CITY TRANSPOT pia bila kusahau barabara kuboreshwa zaidi ndiyo maana tutawaacha milele
System yenu kuanzia traffic mpaka city transiport utaratibu wenu ni m'bovu
Huku tunapakimbia mdogo mdogo hatutaki foleni za kijinga city center na maeneo yaliyo karibu na town
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 955046
Sisi tunapambana kuondoa jam,wewe unashangilia kuwepo na jam Nairobi..Those are private cars. Nioneshe Dar ukiwa na jam ya private carsView attachment 954744View attachment 954747
We kwenda uko....uko hapa 24/7 ukiongelea kenya.....endelea wacha mimi ni lale.Hamupendi ukweli yani mko radhi kuvaa suti lakini ushindie andazi moja kwa siku[emoji23][emoji23][emoji23] ili mzungu asijue tu kua ww ni maskini
Jubilee wamefeli sema sasa kukubali direct kua wamefeli ni aibu sasa wanaforce huku na kule bila kuangalia athari, mwanzo walikuja na idea ya kupaka rangi barabara na kuchora only BRT imefeli sasa wamekuja na style nyingine na hawana alternative waysππππHalafu ni kwa picha yakaribu tu je ikipigwa kwa mbali si itakuwa Siafu n jangwa city
Hehehhe pumzika budaaπππ bila shaka leo umetembea sanaWe kwenda uko....uko hapa 24/7 ukiongelea kenya.....endelea wacha mimi ni lale.
Huyo akili hana barabara zao ni zile zile siku zoteHii ni road map ya dar almost 500km
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] sasa niletee road map ya nairobi ikizidi 200km nitag nasubiria
View attachment 955044
Asante kwa kusoma news yetuHehehhe pumzika budaa[emoji23][emoji23][emoji23] bila shaka leo umetembea sana
Kabisa yaani wakenya ni wapuuzi sana naona wamemaliza kupost picha zao zote za road nazimeisha angali dar hatujawaonyesha hata robo ya barabara zilizopo pembezoni[emoji2][emoji2]Nairobi jam haiepukiki kwasababu iko very congested mm nimetolea mfano mdogo sana mm nikitoka CBD nina njia tofaut 6 za kufika ilala hio jam yakipuuzi itatokea wapi
Hawa majamaa hawaishiwi vituko na yaonyesha ni jinsi gani akili ya mkenya ipo corrupted[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sisi tunapambana kuondoa jam,wewe unashangilia kuwepo na jam Nairobi..
Aisee kweli kila mtu ana akili yake..
Yaani huyo mwamba anakili sana yakibiashara kwenye huu mziki....ngomaWasafi festival morogoro[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
which city is this bro?, don't tell me it isn't nairobi...i won't believe you. [emoji23]
Noma sana.........ujue hawa wabongo huwa hakuna kitu wanajuanga fanya kila kitu hamuwezi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]