fafanua mkuu... bado sijakupataJiwe hana pesa.. zile zilikuwa nguvu ya soda..ni mpuuzi pekee ambaye anadanganya watu kujenga sgr ya trln 7 kwa pesa ya ndani.. kwa uchumi upi? Watz wanafanana na wazimbabwe kwa hali mbaya ya uchumi.. na bado..
Nioyeshe barabara mingi hapa alafu unitag please [emoji23][emoji23][emoji23]Dar ni kubwa sana alaf inabarabara nyingi sana huwez ukakuta foleni ua kipuuzi kama hio kutoka mfano kutoka cbd kuja ilala nina njia zaidi ya 6 kufika ilala so hio foleni itakuwa wapi????? Nairobi ni ndogo sana tena iko congested sehemu moja
Picha sina..Let's picha tukupe theka road foleni ya over20kms
We jamaa fika Dar ndio utajua...barabara ziko nyingi sana ,usihadaike na aerial view huwez kuelewa loloteNioyeshe barabara mingi hapa alafu unitag please [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 954930
Jibu zuri sana[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Picha sina..
Mbona hunanga point wewe...Kulingana na ujinga wa kukosa reason za msingi basi nikusaidie kitu kidogo tu Nairobi ina car na watu wengi kuliko nchi yeyote hapa duniani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
ulisahau HATA HII NI PRIVATE PEOPLE
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122]View attachment 954913
Kwa mpuuzi point huwa haina nafasi siku zote utapewa jibu kulingana na ulivyouliza japo si kila kinachoulizwa chapaswa kupata jibu[emoji2]Mbona hunanga point wewe...
Najua vichochoro viko by what about the ma main arteries?naona tu moja chukua picha ya aerial Nairobi alafu usipopata tano unitagg..yenyu mojaWe jamaa fika Dar ndio utajua...barabara ziko nyingi sana ,usihadaike na aerial view huwez kuelewa lolote
View attachment 954964Those are private cars. Nioneshe Dar ukiwa na jam ya private carsView attachment 954744View attachment 954747
Wagonjwa wa akili hapa sio Psychiatry unit tafadhalHizi zinajaza Tz mara kumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 954964View attachment 954966View attachment 954965
Ebu niambie hoteli poa ya between 7000ksh to 10000ksh per night for like 5days uni inbox ,nilikua nafikiria kwenda Kigali for this Christmas dadangu alikuwa uko August na alipasifia sana bt naeza consider kukuja dar,alafu uniambie maneno ya night clubs coz Mimi I like clubing alot na pia usisahau maneno ya night life venye yukua...thanks .We jamaa fika Dar ndio utajua...barabara ziko nyingi sana ,usihadaike na aerial view huwez kuelewa lolote
Inajaza ile brt yao yote hadi zingine ziongezwe kwa presidential escort yao. Plus MPs wao wapewe kila mmoja. [emoji23]Hizi zinajaza Tz mara kumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 954964View attachment 954966View attachment 954965
Nenda kugali......au bujumbura huku haupawezi hauna pesa....[emoji2][emoji2]Ebu niambie hoteli poa ya between 7000ksh to 10000ksh per night for like 5days uni inbox ,nilikua nafikiria kwenda Kigali for this Christmas dadangu alikuwa uko August na alipasifia sana bt naeza consider kukuja dar,alafu uniambie maneno ya night clubs coz Mimi I like clubing alot na pia usisahau maneno ya night life venye yukua...thanks .
Hasira zikipanda unaokota picha za google na kusema darππππππππMnahangaika na ya kijinga badala ya serikali kujengea wanainchi wake makaazi mazuri ya kuishi...... yenyewe mna kazi kweli kweli hapaView attachment 954870View attachment 954871
ππππππππππππππNioyeshe barabara mingi hapa alafu unitag please [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 954930
So unataka kushindana na dar kwenye total roads in km ππππ akili yako unaoda dar imeisha hapo???? Upanga iko wapi??? Kariakoo iko wapi??? Kijitonyama iko wapi?? Magomeni and ilala zikwapi??? Ubungo iko wapi???ππππkwa dar utapasukaNioyeshe barabara mingi hapa alafu unitag please [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 954930
Ngara ni Cbd ckuhiziCBD bila filter kudadeki ntv[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] leo hakuna makeup ngoma dryView attachment 954993View attachment 954994
Kila kitu kwao ni magumashiππππMbona TV za kenya zina-quality mbovu sana,yaani picha huwa zinapauka ile mbaya
Tuliza kipapa wewe hii ni ngaraππππππππππππNgara ni Cbd ckuhizi