Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lol. Tz is richer than Botswana .Mbona haipo kwa list? I remember the discussion you people had the other day. Hata Kenya haifikii.Botswana was the first country to graduate from LDC in 1994
Nakumbuka nilikwambia uachane na pombe za kienyeji lakin nadhan bado unakomaa nazo...Ni lini niliwah kusema ilo? Tz ni rich kwa resources lakin watz wengi bado mfukoni pakavu
 
Nakumbuka nilikwambia uachane na pombe za kienyeji lakin nadhan bado unakomaa nazo...Ni lini niliwah kusema ilo? Tz ni rich kwa resources lakin watz wengi bado mfukoni pakavu
Lol. Si wewe. Nasema watz wengine. Wewe ulishakubali kwamba Botswana ipo vizuri kuliko sisi.Mokorino aliishia kunitukana
 
Unajua fika hapa EAC hamna kitu
Lol. Afrika mashariki ni mafukara. Kenya imezungukwa na LDC
FB_IMG_15433877384379743.jpg
 
Back
Top Bottom