Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi hao watu wameshikwa shida yako n nn we nilikuambia david ndii angekuwa tz magufuli angekuwa tayari amemchinja tanzanian haina opposition na democracy ndio maana unashinda kwa social media ya kenya ukisave na kudownload tweet za wakenya kenya kuna democracy ndio maana ndii anaongea vle anataka huko kwenu ukibweka kidogo magufuli amefinya makende kenya middle income na tz ldc mbona hamuelewi
Mbona wakosoaji wapo wengi tanzania na hawajachinjwa we ulishawah sikiza bunge la tanzania????😂😂😂😂

Dr ndii akisema ukweli munamuona mjinga leo nchi imeingia kwenye shimo la mavi kila mmoja anamtafuta mchawi😂😂😂
 
JIRANI POVU RUKSA NINA NGUO ZA KUFUA - MAKTABA YAZINDULIWA LEO

June 2 2016 Rais John Pombe Magufuli aliweka jiwe la msingi ujenzi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambacho Mkuu wa Chuo hicho ni Rais mstaafu Jakaya kikwete.

Ujenzi wa maktaba hiyo ya kisasa umeshaanza ambapo umefadhiliwa na Serikali ya China na utagharimu zaidi ya dola milioni 40 na eneo la ujenzi ni mita 200, maktaba hii itakuwa kubwa na ya kisasa kupita zote Afrika na inatarajiwa kujengwa kwa muda mfupi ambapo makandarasi wa maktaba hiyo wanatoka China.

View attachment 948014View attachment 948016View attachment 948017View attachment 948020View attachment 948021View attachment 948023View attachment 948024View attachment 948035
The only thing I like about Jpm ni kusema na kutenda 2020 Kura yangu anayo tayari
 
Mbona wakosoaji wapo wengi tanzania na hawajachinjwa we ulishawah sikiza bunge la tanzania????😂😂😂😂

Dr ndii akisema ukweli munamuona mjinga leo nchi imeingia kwenye shimo la mavi kila mmoja anamtafuta mchawi😂😂😂
Tundu lissu alifanyiwa nn na magufuli hahahaha hakuna nioneshe kama ndii huko tz hata uganda kuna bunge na nyinyi na Uganda ni dictatorship
 
Heheh designers and engineers sijui shuleni walikwenda kusoma nn??? Loss over loss maskini ya Mungu👇👇👇👇👇

Tundu lissu alifanyiwa nn na magufuli hahahaha hakuna nioneshe kama ndii huko tz hata uganda kuna bunge na nyinyi na Uganda ni dictatorship
Nipe ushahidi kua tundulisu alifanyiwa na magufuli ukiniltea ushahidi nafunga account jamii forum sasa hvi😂😂😂

Uganda amekua sio rafiki yenu baada kuwanyima pipeline na SGR mukaona kuingilia siasa za waganda wakat za kwenu mavi matupu
 
Tundu lissu alifanyiwa nn na magufuli hahahaha hakuna nioneshe kama ndii huko tz hata uganda kuna bunge na nyinyi na Uganda ni dictatorship
Mulimuua na kumkatakata kabla ya siku mbili uchaguzi mumesahau👇👇👇👇👇

865D8CC9-EEAA-4FFF-8BD1-8271F4C2B063.jpeg
 
Wapi hao watu wameshikwa shida yako n nn we nilikuambia david ndii angekuwa tz magufuli angekuwa tayari amemchinja tanzanian haina opposition na democracy ndio maana unashinda kwa social media ya kenya ukisave na kudownload tweet za wakenya kenya kuna democracy ndio maana ndii anaongea vle anataka huko kwenu ukibweka kidogo magufuli amefinya makende kenya middle income na tz ldc mbona hamuelewi
Inakuingia akilini kweli???? 👇👇👇👇
Tuna gas pipeline kutoka mtwara to dar hatujawah sikia imevuja tuna oil pipeline from dar to zambia hatujawah sikia imevuja sasa kwanini kenya kila kitu ni mess👇👇👇

Back
Top Bottom