Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Wanataka kishindanisha mji mkuu na ule uchafu wao wa eldondoka








Eldoret beibeeView attachment 947657
Toa point tujadili acha kutype kwasababu unaweza type ulijuaje changaa kama haujawahi kunywa mwenyweKenya 75%ya uwekezaji mali viwanda na matajiri si wakenya.wakenya wao wamewekeza changaa nk.
Kenya GDP ni usd 88 bil...sasa mbona hatupo kwa list....aaahaaaaa mi sikubali hii ni hujuma..yaani sisi mido inkamu GDP yetu ni USD 88 bill tumeachwa wamewekwa wa GDP USD 67 bil jamani kenya imehujumiwa..hiiiiihiiiiLol.East Africa is the poorest region in Africa.View attachment 947972
Ni kweli kabisa mkuu nakuunga mkono hawa machokoraa chang'aa ndiyo utajiri waoKenya 75%ya uwekezaji mali viwanda na matajiri si wakenya.wakenya wao wamewekeza changaa nk.
Walipika hadi ikaungua...Kwahyo Kenya ile 80 yenu imeyeyuka?
Nimekuambia toa Maelezo kila kimoja kinapima nini, badala ya kujibu unatoa mifano ya USA. Nimekuambia GDP inapima utajiri wa nchi/serikali, wakati PPP inapima utajiri wa mwananchi, sasa unaposema hizo nchi zenye PPP kubwa kuliko USA lakini hazijaipita, unamaanisha hazijaipita katika kipengele gani wakati USA ni nchi ya 5 katika utajiri wa watu mmoja mmoja?Kuna nchi zina higher PPP than USA lakini hazijaipiku. Likewise, tz has a higher PPP than Kenya but still a laggard
yaani mnapika GDP hadi inaungua,bahati nzuri IMF wamewashtukia..Lol. Have you seen Ethiopia?
Haya tueleze eldy kuna nini cha maana nieleze kimoja tu👏👏👏👏👏👏😂😂😂😂And that is a Town in KenyaELD ingekua Tz ungeskia ni Capital City
Sent from my TA-1032 using JamiiForums mobile app
why ethiopia,Nimekuuliza, umeona Ethiopia hapo?
Afadhali u
Top 10 Best Looking Libraries in AfricaUDSM Library inauwezo wa vitabu laki 8 katika shelves zake,wasomaji 2100 kwa wakati mmoja na ukumbi wa watu 600
Airport,26 floor tower,interchanges,Moi university,2nd biggest referal hospital in EAHaya tueleze eldy kuna nini cha maana nieleze kimoja tu👏👏👏👏👏👏😂😂😂😂
Mwambie apost airport ya mwanza tena tanzania second largest city hata airstrip ya wajir imeshinda hyo store ya cashew nutsAirport,26 floor tower,interchanges,Moi university,2nd biggest referal hospital in EA