Walisema reli ya karatasi,mbona wamepita wima?current situation of the tanzania electric sgr.
tunamkimbiza mwizi kimyakimya... hatupigi makelele ila namba wanaisoma.
viva tanzania.. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 944901View attachment 944902View attachment 944903View attachment 944904
Kama ni hivyo,uchumi wa nigeria uko wapi?
Ii reli ni ya kwenyu?? [emoji23][emoji23][emoji23], Tuusan acha kujiaibisha bana [emoji23]Walisema reli ya karatasi,mbona wamepita wima?
Unaruka ruka sana........Acha rongorongo zako.Stick to posting pics and insulting Kenyans. Haya mambo huwezani.
Amepost yenu nn?embu niweke waziIi reli ni ya kwenyu?? [emoji23][emoji23][emoji23], Tuusan acha kujiaibisha bana [emoji23]
The sgr line kadoda amepost ni ya Nairobi-Naivasha picha ilipigwa nairobi national park. Leteni ya kwenyu bana [emoji23][emoji23][emoji23]Amepost yenu nn?embu niweke wazi
kuna wakati walikuwa watudai ati tuwaonyeshe hata kilometer moja ya sgr yetu ili wapate kuamini kama kweli tanzania inatengeneza electric sgr.Walisema reli ya karatasi,mbona wamepita wima?
Andaa passport ikuwezeje kuja kupanda the first bullet train in Africa. Haturuhusu IDs pleaseThe sgr line kadoda amepost ni ya Nairobi-Naivasha picha ilipigwa nairobi national park. Leteni ya kwenyu bana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kitu hata kilometer moja haijafika [emoji23][emoji23][emoji23]Andaa passport ikuwezeje kuja kupanda the first bullet train in Africa. Haturuhusu IDs please
Hiyo picha si ya Tanzania kijana, hiyo picha ni Kenya. As you can see this Nairobi National parkkuna wakati walikuwa watudai ati tuwaonyeshe hata kilometer moja ya sgr yetu ili wapate kuamini kama kweli tanzania inatengeneza electric sgr.
waingereza wana msemo wao unasema "he who laughs last, laughs best".
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio sababu ninakuambia andaa passport, November 2019 itakuwa ni Mara yako kuona na kupanda Bullet train, bila Magufuli ungekufa bila kusafiria bullet train.Kitu hata kilometer moja haijafika [emoji23][emoji23][emoji23]
Kadada kanaiba picha [emoji23][emoji23]Hahahaaaaaa unataka kusema kadada kajinga kamedanganya wenzake hapa? Wallahi katatoweka jf tena kwa sababu ya aibu. Usitarajie arudi haraka.
I can't even dream of stepping my foot in Tz leave alone Dar, I don't want to be bewitched.Ndio sababu ninakuambia andaa passport, November 2019 itakuwa ni Mara yako kuona na kupanda Bullet train, bila Magufuli ungekufa bila kusafiria bullet train.
Umeanza kuweweseka?, huoni kuna sehemu za kuwekeza nguzo za UMEME hapo kulia mwa hiyo reli?Hiyo picha si ya Tanzania kijana, hiyo picha ni Kenya. As you can see this Nairobi National parkView attachment 944936View attachment 944935
Ndio sababu ninakuambia andaa passport, November 2019 itakuwa ni Mara yako kuona na kupanda Bullet train, bila Magufuli ungekufa bila kusafiria bullet train.
If its true that this is Tz then ni wapi exactly cause me nimekuambia picha ilichukuliwa Nairobi national park.kuna wakati walikuwa watudai ati tuwaonyeshe hata kilometer moja ya sgr yetu ili wapate kuamini kama kweli tanzania inatengeneza electric sgr.
waingereza wana msemo wao unasema "he who laughs last, laughs best".
[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hiyo picha si ya Tanzania kijana, hiyo picha ni Kenya. As you can see this Nairobi National parkView attachment 944936View attachment 944935
Lete ushahidi kama hapo ni Nairobi National park. Angalia upande wa kulia, wa hiyo reli, utaona sehemu za kufunga nguzo za UMEME, pia angalia hiyo reli ni continuous haija joints kama yenu.If its true that this is Tz then ni wapi exactly cause me nimekuambia picha ilichukuliwa Nairobi national park.
Video staki kuona. We kwa hiyo kichwa na macho zako kubwa kubwa ueziona mandishi ya kichina hapo kwa corner?[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
latest video... this video was published on 19th November 2018.on six days ago.
Wachina hawajengi reli yenyu, then how comes the writings are in their language.Lete ushahidi kama hapo ni Nairobi National park. Angalia upande wa kulia, wa hiyo reli, utaona sehemu za kufunga nguzo za UMEME, pia angalia hiyo reli ni continuous haija joints kama yenu.