Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Google google Google google..hivi hamuwezi kutumia akili zenu,kitu kidogo google google.
 
Huu sio mji wakupigia nao watu kelele bro,mji gani unategemea tu barabara kama njia ya usafirishaji?kuna treni yakuzunguka mji?viwanja vya michezo ni kama hakuna acha upuuzi
 
Duuh....kweli ni vituko
 
Halafu yao wanakuambia wata update rail yao....huwa nacheka sana kusikia hivyo....sijui wataifumua rail yao nakupachika mpya[emoji38][emoji38]
 
NBO inavibopa wengi kuliko Dar ndio lakini bado kuna masikini waliochoka kuliko Dar

Mfano hapa Dar kuna billionaires wawili sahv
 
Lol....These tanzanians have never visited Nbo.......we've not even covered a third of Nairobi on this wall.durban is too small for Nairobi bana.....natambua tu Joburg and maybe capetown
 
Lol....These tanzanians have never visited Nbo.......we've not even covered a third of Nairobi on this wall.
ina maana tangu hii battle ianze 2017 kuna eneo la nairobi hamjawahi kutuonyesha?.

nairobi hii hii yenye kieneo kidogo cha 696 km² au nairobi nyingine ambayo sisi hatuifahamu?.
 
Lol....These tanzanians have never visited Nbo.......we've not even covered a third of Nairobi on this wall.durban is too small for Nairobi bana.....natambua tu Joburg and maybe capetown
Mwingine bado ananishow tanzania iko more developed kuliko botswana halafu wanasema wametembea haaa shakah
 
NBO inavibopa wengi kuliko Dar ndio lakini bado kuna masikini waliochoka kuliko Dar

Mfano hapa Dar kuna billionaires wawili sahv
Ila vibopa wengi ni waajiriwa. Handsomely paid by corporations. Kuna makampuni zaidi ya 40 ambayo ceo wao wanakula zaidi ya usd 50000 per month.ila the rest wanalala kwenye magari na kibera.
 
Ila vibopa wengi ni waajiriwa. Handsomely paid by corporations. Kuna makampuni zaidi ya 40 ambayo ceo wao wanakula zaidi ya usd 50000 per month.ila the rest wanalala kwenye magari na kibera.
$$$ngap kwa mwezi?
 
sasa botswana au Namibia wameishinda tz kwa lipi??..we unajidhalilisha tu hapa huna expooo
...
Wacha tuanze hapo sasa botswana na namibia wameshinda tz kla ktu kuanzia kwa infrastructure kwa education healthcare kla ktu isipokuwa population wanamadini kama nyinyi walitumia kujijenga sio kama nyinyi na niliambia ichoboy awaelimishe mnajiabisha ya bure hapa hamfiki botswana kwa lolote hata south africa haifiki botswana
 
south africa ,what??...bora ukamsaidie mama yako kupika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…