Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂👇👇👇👇
1669C20E-339F-4CFC-936F-F347D8B690EB.jpeg
 
haka kabinti ka kikenya kana mahaba mazito na mwanamziki wa kitz Aslay.

comment yake hii kule youtube inajieleza wazi.

comment kama hizi huwezi zipata kwenye videos za wanamziki wa kenya. yaani huwezi kupata binti wa kitanzania anaandika maneno mazito kama haya kwenye videos za wakenya.

hii inasababishwa na mziki mbovu wanaoimba wakenya.
View attachment 941387
Najaribu kuunganisha dot hapa,maana hilo jina na huo mwandiko km vile [emoji2]
 
Ile ni airport au uharo wa airport hehehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukienda Nairobi pita pale langata kule Carnival, halafu uone hiyo airport wanapost humu, ni kichekesho mkuu, thats why huwa naona wakenya ni watu wenye akili ndogo sana.
 
Kama sasa hivi mnazamia Bongo kama mnaenda ulaya, tukiwafurusha mnalia kiasi cha kusaini Tweeter online petitions,
Imagine bongo in 2020 as we complete
JNIA u/c
SGR u/c
Sarenda Bridge u/c
Interchanges and Flyovers u/c
BRT phase 3 and 4, u/c
Superhighway Dar to Chalinze (100km) u/c
Dar port Expansion u/c

Aisee i think we should restrict these hungry kenyans, we will ban visa free entry for kenyans.

Hua wanashtaki everywhere tukizuia uzamiaji
 
Back
Top Bottom