Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya endeleeni kupiga porojo kuhusu mahusiano ya kimapenzi kati ya vera na otile. ila linapifika suala la muziki, mtasikiliza bongofleva. hiyo haina ubishi.
Screenshot_2018-11-20-09-31-09-215_com.twitter.android.jpeg
 
please! please! kenyans, msije mkajaribu ku sabotage hii event.

acheni vijana wetu waje watengeneze doo kiroho safi na kuleta pesa nyumbani.

mashabiki wa mziki kenya wanaisubiri wasafi festival kwa hamu kubwa.
Screenshot_2018-11-20-09-45-51-487_com.twitter.android.jpeg
 
Sisi hatufichi tupo wazi, hapa hatutawaliwi na kulishwa propaganda na sisiem.
yaani hebu jaribu kujisikiliza mwenyewe maneno unayoongea. Wewe ni mtu mzima lakini vitu vinavyotoka kichwani mwako hata mtoto wa kindergarten ni bora.
 
yaani hebu jaribu kujisikiliza mwenyewe maneno unayoongea. Wewe ni mtu mzima lakini vitu vinavyotoka kichwani mwako hata mtoto wa kindergarten ni bora.
Sisiem chama cha baba na mama kiongozi ni kipofu wananchi vipofu.
1542697571305.png
 
Tell that to mega construction projects and all development projects happening in this country that make you choke.
Gani hizo ambazo hata hazijafika 35%...weka moja imefika 35% with photos of different locations sio propaganda za uzinduzi.
1542698171110.png

1542698203977.png

1542698288904.png

1542698344056.png

Lamu
1542698392966.png

1542698507883.png

1542698595613.png

1542698631092.png

Garrisa
1542698688223.png

1542698737084.png
 
Only in Nairobi Kenya
678d6fa666c38532eb19e7e814539d71.jpeg
cd02b9b44799a32d6dd911db6852d712.jpeg
a24622a33f1a61cc4bc642a5d697870d.jpeg
5990b3617b7108d88dc77851d05fd2ea.jpeg
 
Attachments

  • 0e1175e48f0ec57679b2af1b9dba68e6.jpeg
    0e1175e48f0ec57679b2af1b9dba68e6.jpeg
    79 KB · Views: 20
these goons be asking for far Too Much on their plate. they be acting too diva-ish of late... ati ohh, utakam airport kuni-pick na VX sijui Rolls Royce,,, mara ohh nataka unipangishie hoteli ya 5Star full expenses paid blah blah blah bullcrap wakati wanakaa msoto, sura zao zinakaa probox na vitz na malazi ni uswahilini Tan Dale, hata hajui kushika kisu na uma.
nawaambiaga kila siku, bongo music ain't that big here, only Dayamond and Ali K can pull such stunts here,,, wengine tunawa-classify as 'others'. you either ship in or utalambishwa lolo,
Thie Ukiumaga... Satan.
Povu jingi sana kijana..
 
hahhahahhahahaha hebu usijiaibishe. Hizo antique trains ambazo mpaka leo ndio sababu wachina wamewakalia ndio unaita development wakati those guys will work till 2027? We use our own money to build our projects, just a recap, let me give you the list
1. electric sgr connecting Rwanda, Uganda, Burundi and DRC
2. Bagamoyo port
3. Hoima-tanga oil pipeline
4. Selander bridge
5. Steigler's gorge dam
just to mention a few. Sasa mnafaidika nini na hizo trni kama mnafanyiwa hivi
DiYWm-lXUAACHC_.jpg
 
hahhahahhahahaha hebu usijiaibishe. Hizo antique trains ambazo mpaka leo ndio sababu wachina wamewakalia ndio unaita development wakati those guys will work till 2027? We use our own money to build our projects, just a recap, let me give you the list
1. electric sgr connecting Rwanda, Uganda, Burundi and DRC
2. Bagamoyo port
3. Hoima-tanga oil pipeline
4. Selander bridge
5. Steigler's gauge dam
just to mention a few. Sasa mnafaidika nini na hizo trni kama mnafanyiwa hiviView attachment 940111
Danganya watoto si sisi.Bagamoyo project is funded by loaned money, your SGR is also funded by loaned funds. All your projects are being funded by outside sources. Remember Lamu port is fully funded by GOK
 
Hebu weka picha ya hizi projects na % ya ukamilikaji wake pia...hahaha hapa sitarajii picha yeyote lakini ukiweza weka uzinduaji.
2. Bagamoyo port
3. Hoima-tanga oil pipeline
4. Selander bridge
5. Steigler's gauge dam
Halafu pia weka jumla ya megawatts nchi yako masikini hugenerate(1350 MW).
 
Danganya watoto si sisi.Bagamoyo project is funded by loaned money, your SGR is also funded by loaned funds. All your projects are being funded by outside sources. Remember Lamu port is fully funded by GOK
loan money that we pay idiot. You think we get to be controlled like freaks like you goons.Juzi wachina mmezuia imports zao za samaki wakawa wababe why? they funded your low quality, poor sgr that isn't bringing you any good. So unless you know what you talk about shut the hell up
 
Back
Top Bottom