Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwani itakua mara ya kwanza kuuwana? Waliuwana 2007 na bado wako mbele. Nothing new!
Alioko nyuma ndo atafanya kazi kubwa kumpita Alioko mbele yake. Na alioko mbele atashangaa pale atapopitwa! Nakushauri ukalale kesho uwai kazini ili baada ya miaka 50 labdaTanzania itaipita Kenya.
Kwani Kenya kuna nini so special kiasi cha kudai Tanzania tupo 50 years behind? Nachojua mimi Nairobi ni slums capital of East Africa na poverty rate ni higher kuliko Tanzania. Umasiki wa watu wa chini nchini Kenya unatisha ndiyo maana munakimbilia Tanzania for better life.

6299654565951996502ac6c225cc064f.jpg
 
kuna post moja ulidai kwamba wewe si mkenya.

inakuaje inapotajwa kenya,unashikwa na "mfadhaiko" sana?.
Am glad you asked.
Watanzania wengi wanajilinganisha sana na Kenya. And I happen to think we can do way better kama tutajiwekea malengo yetu wenyewe kama nchi bila kuangalia majirani wanafanya nini.
Nashikwa na "mfadhaiko" kwasababu nataka tuelewe Kenya wako mbele na tuiache kama ilivyo. Sisi tufanye yetu, ikitokea tumewapita, fine! Tusipowapita pia, fine! Provided malengo yetu tumeyafikia. Then tuna evaluate tulipofikia, tunapanga tena mikakati mingine na kusonga mbele.
 
Kwani Kenya kuna nini so special kiasi cha kudai Tanzania tupo 50 years behind? Nachojua mimi Nairobi ni slums capital of East Africa na poverty rate ni higher kuliko Tanzania. Umasiki wa watu wa chini nchini Kenya unatisha ndiyo maana munakimbilia Tanzania for better life.

6299654565951996502ac6c225cc064f.jpg

Obviously lazima kuna kitu special cz pamoja na kupata uhuru baada ya Tanzania, hawan madini, pamoja na umwagaji damu, ukabila, zaidi ya 70% ya nchi ni jangwa, ugaidi, shorter coastline, ufisadi, slums ulizoongelea, unemployment.... but somehow ndio the bigger economy and has been for the last 50+ years!!!!
Nimesema miaka 50 coz wao pia wanaendelea kwa takriban 5.5% kwaiyo sio rahisi kumfikia anaekimbia is all am saying
 
OOOOH! Now I know you guys just love to compare yourselves with us, maybe to console yourselves that you are close. After we beat you in a thread you sensationally come up with another one, We are better than you in every possible way and you know it. Maybe this thread will make you happy for a moment but after several posts you will open another one. I am sure it is not your memory. We have like 10 threads already showcasing this things.
There nothing special about Kenya than filthiess and despicable poverty. The second biggest slums in Africa is in Kenya after South Africa. There are slums in Mathare, Kibera and Korogocho to mention a few!
The biggest one is Kibera see down there

cde02c340a783a3c667e56af17e57fda.jpg
 
Am glad you asked.
Watanzania wengi wanajilinganisha sana na Kenya. And I happen to think we can do way better kama tutajiwekea malengo yetu wenyewe kama nchi bila kuangalia majirani wanafanya nini.
Nashikwa na "mfadhaiko" kwasababu nataka tuelewe Kenya wako mbele na tuiache kama ilivyo. Sisi tufanye yetu, ikitokea tumewapita, fine! Tusipowapita pia, fine! Provided malengo yetu tumeyafikia. Then tuna evaluate tulipofikia, tunapanga tena mikakati mingine na kusonga mbele.
Inabidi awe deported huyo arudi Nairobi kule Kibera.
 
I like your words bro. But hapa sisi waKenya tunajibamba tu.. ila wenzetu waBongo wanachukulia ii issue kuwa serious...kufa/kupona. well the whole world knows we are far much better kasoro awa wawili/watatu wako apa kwa thread wanajifariji. ata tukikam na facts za kuaminika bado wanasema ni sis ndio tumezichoronga tuka-cook data. lol
 
There nothing special about Kenya than filthiess and despicable poverty. The second biggest slums in Africa is in Kenya after South Africa. There are slums in Mathare, Kibera and Korogocho to mention a few!
The biggest one is Kibera see down there

cde02c340a783a3c667e56af17e57fda.jpg
Hili ndo tatizo langu na watanzania wenzangu!
Kwamfano tunajua the most developed country in Africa ni south Africa, na the biggest slum in Africa pia ipo south Africa. Now, If Cairo was to spend half her time posting to south Africans pictures of soweto, would it make Egypt any better than south Africa? Answer is a definite NO!
On the other hand, Cairo could copy the things that worked for south afrika to get it where it is and learn what led to the growth of soweto and avoid the same. But spending days on end posting pictures of soweto telling south Africa how it has the biggest slum in Africa doesn't help the Egyptian case atall.
People let engage our brains....
 
Inabidi awe deported huyo arudi Nairobi kule Kibera.
Kwikwikwi... Nilijua mmoja wenu lazima atasema hivi but that's IMPOSIBLE my friend. Ningukua mkuria au mjaluo labda, but Kabila langu Kenya halipo..... jadili mada mdogo wangu
 
Obviously lazima kuna kitu special cz pamoja na kupata uhuru baada ya Tanzania, hawan madini, pamoja na umwagaji damu, ukabila, zaidi ya 70% ya nchi ni jangwa, ugaidi, shorter coastline, ufisadi, slums ulizoongelea, unemployment.... but somehow ndio the bigger economy and has been for the last 50+ years!!!!
Nimesema miaka 50 coz wao pia wanaendelea kwa takriban 5.5% kwaiyo sio rahisi kumfikia anaekimbia is all am saying
They are not that big economically, the difference is very small to take 50 years to catch up with them. I don't know where you sourced your information?
Na sikubaliani na wewe kwamba wao wanakimbia sababu huna evidence. Unge make sense kama ungesema wao wanatembea haraka na sisi polepole, kwa ushaidi.
 
According to this Year’s Wealth Report by Knight Frank, Kenya is home to the world’s fourth fastest-growing population of ultra-wealthy individuals (UHNWIs) growing at a rate of 93% in the last ten years behind China at 281%, India at 290% and Vietnam at 320%.

The report compiles and analyzes data related to Ultra High Net Worth Individuals (UHNWI), or those whose net worth exceeds US$30 million excluding their primary residence while HNWIs, or high-net-worth individuals, are considered those with a net worth of over US$1 million, excluding their primary residence.

Between 2006 and 2016, Kenya’s number of UHNWIs (Ultra High Net Worth Individuals) grew by 93 per cent to reach 120 and is predicted to reach 216 by the end of the next decade; this would be a growth of 80 percent – the fourth largest increase in all the countries assessed. This would put Kenya ahead of Australia at 70%, Russia at 60% and other countries as shown in the infographic below.

Kenya Will Create 7,500 new millionaires (HNWIs) in the Next Decade

Kenya added 900 individuals to the elite class of dollar millionaires in 2016, raising the tally of HNWIs – those worth US$1 million (Sh102 million) or more in assets to 9,400 people from 8,500 in 2015. Of these, 30 individuals joined the ranks of those worth US$10m+ (Sh1.02bn+), 10 joined the ultra-high-net-worth pool of those worth US$30m+ (Sh3.06bn+), while two individuals became centa-dollar-millionaires worth US$100m+ (Sh10.2bn+).

The report further indicates that 7,500 new millionaires will be created in Kenya over the next decade.

The results of The Wealth Report Attitudes Survey, which this year is based on responses from almost 900 of the world’s leading private bankers and wealth managers, offer an annual window on the issues that are influencing UHNWI investment and lifestyle decisions.

The Wealth managers said 22% of their Kenyan HNW clients use private aviation for the majority of their business or personal travel, a higher percentage compared to the 15% global average and 17% Africa average. However, the number of private jets in Kenya is estimated at nine, relatively unchanged over the last 10 years. Currently, fractional-ownership of private jets (at 3%) is the most common mode of possession, followed by full-ownership at 2%, while usage of chartered jets stands at 1%.

“On average, the growth in ultra-wealthy populations in Africa is 33% and Latin America (37%) will also outpace that in Europe and North America. In Africa, sharp rises are expected in countries such as Mauritius, Ethiopia, Tanzania, Uganda, Kenya and Rwanda. In fact, of the 20 countries whose ultra-wealthy populations have grown most rapidly over the last decade, 11 are in Africa.” said the report.
 
Attachments

eti ananichimba mkwara.huyu watchman ni bwege kweli aisee.

hajui kwamba kadoda11 ni brand kubwa hapa jf kupitia subsection ya kenya forums tangu 2011.

nishawahai ku-debate na wakenya wabishi na wajuaji kushinda yeye, mwisho wa siku mambo yalipo washinda,wakaamua kuwa ghost members wa jf(hawakomenti chochote,wanapita tu juu kwa juu,kimya kimya na kusepa)

sasa yeye kujiunga jf juzikati mwezi march,leo anapata ujasiri wa kumpiga biti nyani mkongwe aliyekwepa mishale mingi ya wawindaji..hahahahaha nacheka kwa dharauu
anacheza na kubwa la maadui lazima aisome number.
 
kwani itakua mara ya kwanza kuuwana? Waliuwana 2007 na bado wako mbele. Nothing new!
Alioko nyuma ndo atafanya kazi kubwa kumpita Alioko mbele yake. Na alioko mbele atashangaa pale atapopitwa! Nakushauri ukalale kesho uwai kazini ili baada ya miaka 50 labdaTanzania itaipita Kenya.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 haya tusubiri tuone siumeona miaka 10 hii maji yalivo shingoni haya ingieni kwenye uchaguzi alafu muone tanzania inavopaaaa🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
I like your words bro. But hapa sisi waKenya tunajibamba tu.. ila wenzetu waBongo wanachukulia ii issue kuwa serious...kufa/kupona. well the whole world knows we are far much better kasoro awa wawili/watatu wako apa kwa thread wanajifariji. ata tukikam na facts za kuaminika bado wanasema ni sis ndio tumezichoronga tuka-cook data. lol
hahahahahaaha povuuuuuuuuuuuuuuuuu panga shingoni ndio unajitetea hahahhahahah huu ndio mwanzo tu na bado sasa tususbiri tuone😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
According to this Year’s Wealth Report by Knight Frank, Kenya is home to the world’s fourth fastest-growing population of ultra-wealthy individuals (UHNWIs) growing at a rate of 93% in the last ten years behind China at 281%, India at 290% and Vietnam at 320%.

The report compiles and analyzes data related to Ultra High Net Worth Individuals (UHNWI), or those whose net worth exceeds US$30 million excluding their primary residence while HNWIs, or high-net-worth individuals, are considered those with a net worth of over US$1 million, excluding their primary residence.

Between 2006 and 2016, Kenya’s number of UHNWIs (Ultra High Net Worth Individuals) grew by 93 per cent to reach 120 and is predicted to reach 216 by the end of the next decade; this would be a growth of 80 percent – the fourth largest increase in all the countries assessed. This would put Kenya ahead of Australia at 70%, Russia at 60% and other countries as shown in the infographic below.

Kenya Will Create 7,500 new millionaires (HNWIs) in the Next Decade

Kenya added 900 individuals to the elite class of dollar millionaires in 2016, raising the tally of HNWIs – those worth US$1 million (Sh102 million) or more in assets to 9,400 people from 8,500 in 2015. Of these, 30 individuals joined the ranks of those worth US$10m+ (Sh1.02bn+), 10 joined the ultra-high-net-worth pool of those worth US$30m+ (Sh3.06bn+), while two individuals became centa-dollar-millionaires worth US$100m+ (Sh10.2bn+).

The report further indicates that 7,500 new millionaires will be created in Kenya over the next decade.

The results of The Wealth Report Attitudes Survey, which this year is based on responses from almost 900 of the world’s leading private bankers and wealth managers, offer an annual window on the issues that are influencing UHNWI investment and lifestyle decisions.

The Wealth managers said 22% of their Kenyan HNW clients use private aviation for the majority of their business or personal travel, a higher percentage compared to the 15% global average and 17% Africa average. However, the number of private jets in Kenya is estimated at nine, relatively unchanged over the last 10 years. Currently, fractional-ownership of private jets (at 3%) is the most common mode of possession, followed by full-ownership at 2%, while usage of chartered jets stands at 1%.

“On average, the growth in ultra-wealthy populations in Africa is 33% and Latin America (37%) will also outpace that in Europe and North America. In Africa, sharp rises are expected in countries such as Mauritius, Ethiopia, Tanzania, Uganda, Kenya and Rwanda. In fact, of the 20 countries whose ultra-wealthy populations have grown most rapidly over the last decade, 11 are in Africa.” said the report.
kenya will create in the next decade maana yake yaeza kua au isiwe, so it was expectations unajua wakenya sometimes muwe munaacha sifa za kipuuuzi ndio maana hata nchi inayumba kwasababu ya sifa zisizokua na maana
mambo ya expectations anakwambia real how is that possible😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
niletee official document inayonionesha sio inayo toa expectations leta official documents inioneshe HNWI 6500 nairobi😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
bahati nzuri zaidi mm kenya naijua nahakuna sehemu utanidanganya wewe kwa namna yoyote niletee official document now
na hio source ni ya 2017 it means 10 yrs yani kufikia 2027 ndio kenya nzima mufikishe millionares 7500😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom