Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hivi Kenya rangi na gypsum cement huwa ni bei kubwa sanaaaaaa👇👇👇😂😂😂
2018-11-15_22.05.08.jpg
 
Naulizia likoni bridge😂😂😂😂😂Dar es salaam sio mji wakuchezea. 8 lanes tunajenga kwa pesa zetu kutoka Mbezi hadi Kibaha😂😂😂😂😂😂
Joho ka renovate street moja ya mombasa watu wanapiga kelele usiku na mchana hio likoni bridge wataivukia kwenye karatasi😂😂
 
Back
Top Bottom