Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

High learning institutions. Currently, we have 22 public universities and quite a number of private ones .Danganyiks have less than 15

Thats why mnatokea wasomi mpaka wa kariba yako,wewe ni msomi mzamivu wa maua[emoji16][emoji16][emoji16]??au takwimu??
Unaweza kuwa na vyuo vingi,ila vyuo bora ikawa ni tatizo.
 
sabis 2.jpg
sabis.jpg
sabis 3.jpg
sabis 4.jpg
sabis 6.jpg
sabis 5.jpg
 
Ukibishana na wakenya unapoteza muda,wajuaji ,Sana, kujifanya wasomi, ukabila, chuki vimewatawala, hakuna haja ya kubishana na Ma super Vilaza
 
[emoji23][emoji23]halafu kwani mnauza plot,si nilisikia nafasi zimechwa kwa ajiri kupata uoto wa asili kidogo!!!!ndio maana kuna vichaka cbd!!

Au mmeghaili mnajenga pote[emoji38][emoji38]
Ebu nionyeshe kichaka CBD
 
Back
Top Bottom